MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

Be specific, siku zote mwanamke yupo kwenye siku zake.. hakuna siku atasema leo siku zangu nimeziacha yuko yeye kama yeye bila siku,
But, siku zinatofautiana..
Unaongela siku zipi?
Doctor mzima anajufanya stupid
 
Binafsi siwez kumuingilia akiwa kwenye siku zake ,,,MP,,, !
Kuna jamaa yangu huwa haachi, anapiga story huwa anamwambia nenda bafuri kaipige maji akirudi chombo inatafunwa
 
Sijui kuna siri gani kwenye hedhi, ila hakuna uchafu mbaya kama dam ya hedhi, hata mwanamke mwenyewe anauogopa. Nenda vyuoni ukaone moshi unaotoka wakati pipa za pedi zinavyochomwa. Kuna moshi wa kila rangi
 
Mkuu madhara ni makubwa kuliko starehe. Kwanza huua nguvu za kiume in a longrun, pia dam ni uchafu huenda kuziba mirija ya ko uzeeni lazima mkojo uzibe. Kwa mwanamke huwa wanau.wa tumbo hatari. Inawezasababisha madhara makubwa sana
 
Mungu ameweka hedhi ili mwanaume apumzike.
Mwanaume muda wowote likidisa anataka show, sasa Mungu akaona aweke hedhi ili apumzike, kuna madhara usipo pumzika ikiwa ni pamoja na kutoa mapovu tu badala ya manii.
 
Mungu ameweka hedhi ili mwanaume apumzike.
Mwanaume muda wowote likidisa anataka show, sasa Mungu akaona aweke hedhi ili apumzike, kuna madhara usipo pumzika ikiwa ni pamoja na kutoa mapovu tu badala ya manii.
Sio kweli ndg mwanaume anatakiwa afanye mala 2 kw wiki
 
Tatizo..
1. Lililosababishwa na kujichua
2.linalotokana na umri
3.linalotokana na ngiri
4.linalotokana na kujamiana na mtu ndani ya siku zake
5.linalotokana na vyakula
6.linalotokana na kisukali
7.presha
8.kuwahi kufika kileleni

Ukifanikiwa kunywa chupa 1 ya halbat taumu ndani ya 1 week itakupa matokeo mazuri kabisa kama utakunywa dose 2 yaani chupa 2 utamaliza tatizo kabisa naomba nikusaidie kwa kukupatia product yangu ya halbat taumu

TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Awali natoa pole kwa wote wenye shida hii. Pia wanapa faraja na ufumbuzi wa tatizo hili kupitia product zangu za Asilia kabisa kwa kutibu hii shida..
1.kuwahi kufika kileleni
2.kushindwa kurudia tendo la ndoa
3.misuli kusimama lege lege
4.kutopata manii yakutosha
5.kutokuwa na uwezo wa kumpa mimba mwanamke

dawa no #Halbattaumu toka ofisi zetu zilizo Mkunguni,Manzese.Dar no. sale &suppy +255684-765575

kalibuni wote tunywe kwa AFYA YA UZAZI NA KIUME

HALBAT TAUMU kwa Afya & kinga

Mkubwa wa ulingo ni HALBAT TAUMU
Tokomeza tatizo la Nguvu za kiume rudisha heshima kitandani jenga urafiki na HALBAT TAUMU ufurahie tendo la ndoa.
img_1637871431006_1.jpg
 
Kiafya haina tatizo ikiwa mwanamke hana uambukizo wa maradhi kama STD; gono, kisonono, kaswende etc. na mwanaume hana uambukizo na michubuko nk.

Hivyo ni salama kabisa ikiwa hali ya awali imejumishwa katika tathmini. Kikubwa tu ni hofu na fikra kwa kutokujua. I mean we are not well informed.

Angalizo tu ni kwamba it is not hygienic but no health d/effect if contrary is committed yaani hamna madhara kiafya. By not hygienic it means that one can stain the beddings, unpleasant boold smell, etc Kwa msaada zaidi wasiliana nami ili tufanye utafiti wa kina.

You can use condom; both male and female partner for hygiene or any other means one can find reliable.
USIPOTOSHE WATU, KUNA MADHARA MAKUBWA SANA
 
hakuna madhara,labda mmoja wapo awe na STD and HIV risk inakuwa kubwa ya kupata hayo magonjwa unashauriwa kutumia condom

kwanza mademu wenyewe wanainjoyi Sana TU,au mnasemaje ladies!?ila dini zote mbili zimeharamisha
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom