Sam Mahela wa ITV na kipindi cha upande mmoja

Kipindi kimepunguza mvuto sana.....kwa nn wasijifunze kwa kale kazungu ka BBC hardtalk...aiseee....jamaa huwa anajiandaa,anakuja na facts hata za miaka 10 nyuma....waweza rusha ngumi....
 
Wewe nae una uvumilivu, ulikaa dk zote 45 ukitegemea labda mtangazaji atabadilika lakini wapi. Mm huwa nikisikiliza mada ya siku hiyo tu na aina ya mgeni aliyealikwa najua kabisa hapo ni bora nilale mapema, ni kama ninamaliza LUKU yangu tu.

Maswali yanayoulizwa majibu yake ni obvious hata mwendawazimu anaweza kujibu kwa usahihi. Mfano niliwahi kusikia swali la kipima joto “ je mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, hatua kali zichukuliwe kwa wanaobainika kutenda unyama huo”? Hilo ni swali kweli? mm nikikaa sebuleni kuangalia TV hadi watoto wangu huwa nahisi kama hawafurahi, maana nikishika remote muda wote mm ni kuhamisha channel tu, huwa sivumilii kusikiliza mambo ya ajabu ajabu, hata siasa wakishaleta za upande ule tu nahamisha. Kuna siku walificha remote, kila ninayemuuliza anasema hajaiona na hiyo TV waliwasha wao. Nikajiongeza tu kuwa hawa watoto wamegundua nitaanza kuhamisha hamisha, nikaamua kuingia tu chumbani kwangu na kujivinjari na jf, instagram na tweeter

Usiikaribie dhambi kwa kigezo kwamba umeokoka, unaweza kuteleza shetani hajawahi kufa, muda wote anatafuta watu awameze.
Ubarikiwe dhambi mbaya sana.........wewe mwelewa sana haaaaall
 
Yani hichi kipindi tangu alipotoka yule Emmanuel buholela aliye pelekwa ikulu na kutokua Live ...na kibaya zaid akapewa huyu fala mahela ambaye hana identity yake kazi kum copy kikeke ..niliisha achana nacho kabiiisa.. Hawa wanafaa kubaki Tu kuwa mareporter sio kuhost hivi vipindi . kwenye haya mambo naangaliaga V.o.A Tu yule Shaka sio MTU mzuri anajua vingi saaana na angle zote za kukuuliza sio hawa wapuuzi wetu
 
Mahela kipindi chako kinakosa mvuto. wanangalia wachache.

Mosi, unauliza mambo ambayo ni ama huyajui au umedangishwa. Maswali mengi uliyomuliza jafo ilifaa umulize Mtendaji wa Kata au Mek (Mratibu wa elimu kata)

Pili, kipindi kinakosa mvuto kwa kuwa kuna fanani/ msimuliaji tu na hadhira hairuhusiwi kuliza maswali.

Tatu, maswali unayouliza siyo fikirishi yanampa muulizwaji nafasi ya kuelezea hisia badala ya actual facts. Mfano wewe unasemaje? Hupaswi kumuliza waziri hivyo kwakuwa hujamwalika kama mtu binafsi umeialika wizara.

Nne, unatumia vibaya gesture? Kuongeza chunvi yale unayoyaongea.huwapi watazamaji uhuru wa kuamua juu ya unachohoji.

Nakifananisha kipindi hiki na mazungumzo baada ya habari, bwana Juma Ngondai alikuwa ananiacha na maswali mengi sana pasi na majibu lakini sasa najua alikuwa anadanganya, kutisha na kuogofya watu.

Mahela boresha kipindi, ruhusu simu toka kwa walaji
hakuna asiyependa ukuu wa mkoa au wilaya jamani
 
Wewe nae una uvumilivu, ulikaa dk zote 45 ukitegemea labda mtangazaji atabadilika lakini wapi. Mm huwa nikisikiliza mada ya siku hiyo tu na aina ya mgeni aliyealikwa najua kabisa hapo ni bora nilale mapema, ni kama ninamaliza LUKU yangu tu.

Maswali yanayoulizwa majibu yake ni obvious hata mwendawazimu anaweza kujibu kwa usahihi. Mfano niliwahi kusikia swali la kipima joto “ je mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, hatua kali zichukuliwe kwa wanaobainika kutenda unyama huo”? Hilo ni swali kweli? mm nikikaa sebuleni kuangalia TV hadi watoto wangu huwa nahisi kama hawafurahi, maana nikishika remote muda wote mm ni kuhamisha channel tu, huwa sivumilii kusikiliza mambo ya ajabu ajabu, hata siasa wakishaleta za upande ule tu nahamisha. Kuna siku walificha remote, kila ninayemuuliza anasema hajaiona na hiyo TV waliwasha wao. Nikajiongeza tu kuwa hawa watoto wamegundua nitaanza kuhamisha hamisha, nikaamua kuingia tu chumbani kwangu na kujivinjari na jf, instagram na tweeter

Usiikaribie dhambi kwa kigezo kwamba umeokoka, unaweza kuteleza shetani hajawahi kufa, muda wote anatafuta watu awameze.
Upo vizuri kidogo
 
nchi hii sio waandishi wala watu wa kawaida wengi ni wanafiki ndio maana ukifatilia waandishi wengi hawajui kuuliza maswali hawajui kudadisi wao kipengele pekee wanachoweza ni kuwapongeza serikali
 
Mahela kipindi chako kinakosa mvuto. wanangalia wachache.

Mosi, unauliza mambo ambayo ni ama huyajui au umedangishwa. Maswali mengi uliyomuliza jafo ilifaa umulize Mtendaji wa Kata au Mek (Mratibu wa elimu kata)

Pili, kipindi kinakosa mvuto kwa kuwa kuna fanani/ msimuliaji tu na hadhira hairuhusiwi kuliza maswali.

Tatu, maswali unayouliza siyo fikirishi yanampa muulizwaji nafasi ya kuelezea hisia badala ya actual facts. Mfano wewe unasemaje? Hupaswi kumuliza waziri hivyo kwakuwa hujamwalika kama mtu binafsi umeialika wizara.

Nne, unatumia vibaya gesture? Kuongeza chunvi yale unayoyaongea.huwapi watazamaji uhuru wa kuamua juu ya unachohoji.

Nakifananisha kipindi hiki na mazungumzo baada ya habari, bwana Juma Ngondai alikuwa ananiacha na maswali mengi sana pasi na majibu lakini sasa najua alikuwa anadanganya, kutisha na kuogofya watu.

Mahela boresha kipindi, ruhusu simu toka kwa walaji
Upepo mazeeee, keshausoma.
Vinginevyo njia ya kwenda chooni itaota nyasi.
 
Una muda wa mchezo sana..kwangu mm marufuku clouds FM, clouds TV, radio one, TBC, ITV. Ni marufuku kwangu..!! Habari naangalia azam two ..nikitaka mpira dstv, nikitaka yanga azam anatosha..nikitaka mziki MTV base, Chanel e ya majizo basi..!! Wanafki hawana nafsi kwangu.

Tena habari nyingi now nazipata jf zikiwa hazijaeditiwa. Miziki YouTube.
umejuaje kama zipo?
 
Anatakiwa aulize swali siyo kutangulia kwenye jibu la swali. Mara nyingi anamuuliza mhusika swali hapo hapo anampa jibu.
 
Mahela kipindi chako kinakosa mvuto. wanangalia wachache.

Mosi, unauliza mambo ambayo ni ama huyajui au umedangishwa. Maswali mengi uliyomuliza jafo ilifaa umulize Mtendaji wa Kata au Mek (Mratibu wa elimu kata)

Pili, kipindi kinakosa mvuto kwa kuwa kuna fanani/ msimuliaji tu na hadhira hairuhusiwi kuliza maswali.

Tatu, maswali unayouliza siyo fikirishi yanampa muulizwaji nafasi ya kuelezea hisia badala ya actual facts. Mfano wewe unasemaje? Hupaswi kumuliza waziri hivyo kwakuwa hujamwalika kama mtu binafsi umeialika wizara.

Nne, unatumia vibaya gesture? Kuongeza chunvi yale unayoyaongea.huwapi watazamaji uhuru wa kuamua juu ya unachohoji.

Nakifananisha kipindi hiki na mazungumzo baada ya habari, bwana Juma Ngondai alikuwa ananiacha na maswali mengi sana pasi na majibu lakini sasa najua alikuwa anadanganya, kutisha na kuogofya watu.

Mahela boresha kipindi, ruhusu simu toka kwa walaji
Kwakusema ukweli sikumbuki lini niliangalia tv naona habari ZA humu jamvini zinafikirisha
 
VIPINDI VINGI VYA ITV VINAHITAJI UBORESHAJI ...MFANO USOMAJI WA MAGAZETI TUNAMUONA ZAIDI MTANGAZAJI SUTI NA TAI/AU MAKE UPS BADALA YA GAZETI HUSIKA...chukua mfano wa Channel ten...badilikeni guys msg mnatumiwa lakini Mhavile ndio keshafika sio msikivu...
 
Biashara kwa upande mmoja na weredi kwa upande wa pili. Mzani umelalia upande wa kwanza.
 
Hiki kipindi siku hizi kikianza tu, nabadilisha Channel - Nakumbuka enzi za Jenerali on Monday pale channel Ten enzi hizo kilikuwa na mvuto wa pekee bila kuegemea upande wowote.
 
Wewe nae una uvumilivu, ulikaa dk zote 45 ukitegemea labda mtangazaji atabadilika lakini wapi. Mm huwa nikisikiliza mada ya siku hiyo tu na aina ya mgeni aliyealikwa najua kabisa hapo ni bora nilale mapema, ni kama ninamaliza LUKU yangu tu.

Maswali yanayoulizwa majibu yake ni obvious hata mwendawazimu anaweza kujibu kwa usahihi. Mfano niliwahi kusikia swali la kipima joto “ je mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, hatua kali zichukuliwe kwa wanaobainika kutenda unyama huo”? Hilo ni swali kweli? mm nikikaa sebuleni kuangalia TV hadi watoto wangu huwa nahisi kama hawafurahi, maana nikishika remote muda wote mm ni kuhamisha channel tu, huwa sivumilii kusikiliza mambo ya ajabu ajabu, hata siasa wakishaleta za upande ule tu nahamisha. Kuna siku walificha remote, kila ninayemuuliza anasema hajaiona na hiyo TV waliwasha wao. Nikajiongeza tu kuwa hawa watoto wamegundua nitaanza kuhamisha hamisha, nikaamua kuingia tu chumbani kwangu na kujivinjari na jf, instagram na tweeter

Usiikaribie dhambi kwa kigezo kwamba umeokoka, unaweza kuteleza shetani hajawahi kufa, muda wote anatafuta watu awameze.

nimecheka sana sana
 
Back
Top Bottom