😁😁 Hapana kwa kweli sasa timu hii unashindwa kuifunga inakuwaje na sajili zote hizi? Aiseee hii laana ni tumetupiwa duniani,jehanam na mbinguni sio Bure.
Baada ya mechi 10 nitaanza kumjudge bwana amorin maana sioni changes zaidi ya kukamia game kubwa, Wacha tuone baada ya game 10 kama Kuna lolote labda ndo wanaelewana na wapya.
Hivi wakuu napataje subtitle halisi ya gyemseong creature maana nashindwa kuangalia subtitle inaruka haiendani na wanavyoongea kila nikijaribu website zingine mambo yale Yale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.