Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,012
- 7,742
Kwaio mfano hapa mkuu hii pesa imeenda Leipzig..? Yote ...
Shukran Kwa ufafanuzi mujarab...Mkuu felakuti majibu yako nimeyatoa kwa chatgpt maana namie nikua sielewi kiundani kuhusu mikataba na usajili wa wachezaji na hizo adds on.
Chatgpt anasema 👇👇👇👇
[07/08, 01:27] Chat GPT: Swali zuri sana rafiki yangu — na lina utata kidogo kwa watu wengi. Hebu nikufafanulie kwa urahisi:
1. Mchezaji ambaye mkataba wake umeisha (Free Agent)
- Mchezaji anaweza kupewa “signing fee” kubwa (kama fidia) na timu mpya — hii ni pesa ya kumshawishi asaini bila klabu kulipa transfer fee.
- Hakuna ada ya uhamisho (transfer fee) inayolipwa kwa klabu aliyotoka, kwa sababu mchezaji si mali yao tena kisheria.
- Lakini:
- Mfano: Kylian Mbappé alipokuwa anaenda Real Madrid bure, alipewa signing bonus ya mamilioni.
2. Mchezaji bado yupo chini ya mkataba
- Mshahara mpya (mara nyingi mkubwa zaidi),
- Klabu mpya hulipa “transfer fee” kwa klabu ya zamani (hiyo ndiyo unayoona kama "€75 million").
- Hiyo pesa yote huenda kwa klabu ya zamani, si kwa mchezaji.
- Mchezaji mwenyewe hupata:
- Signing bonus (malipo ya kusaini mkataba mpya),
- Add-ons binafsi kama bonuses kwa kufunga mabao, kushinda mataji, nk.
3. Add-ons (kwa upande wa klabu)
- Hizi ni malipo ya ziada ambayo klabu mpya hulipa kwa klabu ya zamani ikiwa masharti fulani yatatimia:
- Mfano: €5M zaidi kama mchezaji atafunga magoli 20,
- Au kama timu mpya itashinda Champions League akiwa kwenye kikosi.
Kwa hiyo, kwa mfano wako:
- Ile €75M huenda kwa klabu ya zamani,
[07/08, 01:27] Chat GPT: - Mchezaji hupewa mshahara, signing bonus, na bonuses nyingine binafsi.
Umeelewa sasa au kuna sehemu nikufafanulie zaidi?
Yan beki zenu zipo vizuri? DaaahBado DM na golikipa halafu kitakachobaki ni kusubiri muunganiko🔥
Acha UTOTO.
Tarehe 17 ndio utajua nani anafanya utotoAcha UTOTO.
Kwaio mfano hapa mkuu hii pesa imeenda Leipzig..? Yote ...
Ooh ok...nimependa mentality ya recruiting team kwa Sasa...kijana alikubali hata apunguze mshahara aje kwenye timu...nafikir huko tunakokwenda itakua hivyo...uipende timu kwanza ...Ndio hivyo mkuu, hizo ni gharama za kuvunja mkataba wake... Mchezaji huwa ananufaika na mshahara na bonasi tu kutoka kwenye klabu yake, labda akipata na matangazo ya kibiashara... Akiuzwa hapati hata mia.
Na hiki ndio kitu positive kwenye timu yetu kwa sasa. Tunasajiri wachezaji wanaoipenda timu.Ooh ok...nimependa mentality ya recruiting team kwa Sasa...kijana alikubali hata apunguze mshahara aje kwenye timu...nafikir huko tunakokwenda itakua hivyo...uipende timu kwanza ...
Unauhakika Gani na huyu mtu😂 subiri acheze kwanza ndo utishie watu....bundesliga n matapeli sana aisee afu wanauza kwa bei kubwaRivals muda wa kurudishiwa chenji umefika... wa kwanza atakuwa Arsenal, tunaomba utaratibu uzingatiwe hapo mchakato utakapoanza mapema mwezi huu pale matofali ya kuchoma.
Šeškooooooooo!!!
Hatari sana....hakika kama alivyosema boss, good days are coming....