Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,467
Naweka Kambi hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanachama gani unao wazungumzia kwanza?Bila wanachama kuvimba na kuchachafya wamiliki MUFC haiamki mpaka miaka kadhaa ijayo.
Siji usishi na utabiri wa ndondo cup mkuuAllypipi akitabiri naomba munitag. Utabiri wa Allypipi wa leo ni wamuhimu sana.
Washakufanya Jinx masterSiji usishi na utabiri wa ndondo cup mkuu