Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,157
- 4,306
Ni kama alishikwa na tumbo la kuharahata kwenye penalt amejificha anaogopa kuangalia.anaogopa 😂
Ni kama alishikwa na tumbo la kuharahata kwenye penalt amejificha anaogopa kuangalia.anaogopa 😂
Haha, unamkosea kipa tu.. timu yenyewe haieleweki wabadilishe wote 😅🤣🤣🤣🤣🤣😉😉Tafuteni kipa wa kueleweka
Nyie wazenge qmmq hela yangu imeendaNyumbu mtatoboa leo?
Nimeweka hela yangu kwenu kenge nyie
Sasa hiyo control room ameipoteza kwa wachezaji gani? Maana wachezaji karibia 50% wa kikosi cha kwanza ni wake!Anorim ni kocha mzuri ila huenda ameshapiteza control ya dressing room. Wamuondie haraka walete Rud Van Nestroy.
Mna uhakika hii timu tatizo ni kocha?