Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,200
- 2,706
Yani akili za Mtanzania hasa muafrika ni zile zinazofanana na nyani!
Oya Scumbabag kumbe unamafuatilia Putin The Master ClassNa kuendelea kuvaa suti Na jeans badala ya ngozi na majani.
Ulikuwepo?waTz bwana!!!Sio putin mwenyewe!
Katumia body double kama anavyofanyaga akienda Ukraine kumtembelea wanajeshi maeneo wanayoyashikilia
KabisaaaaYani akili za Mtanzania hasa muafrika ni zile zinazofanana na nyani!
Wasukuma wapo wengi ama ni lugha ambayo inaongewa na watanzania wengi ,kwani kichina si kinaongewa na watu wengi mno mpaka kimeingia lugha ya kimataifaNa kuendelea kuvaa suti Na jeans badala ya ngozi na majani.
Mdugu jua Putin ni taasisi ya Russia sio mtu.. wale ni wakunga wa Ujasusi Duniani.
Duh!Yani akili za Mtanzania hasa muafrika ni zile zinazofanana na nyani!
Low achievers wana tabia kama yako, kuji steriotype, cannot think outside the box.Yani akili za Mtanzania hasa muafrika ni zile zinazofanana na nyani!
Kwa akili hizi ulistahili baskel ya kijani kabisa mkuu.You've to be proud with you only you and none else. Wabongo tuko proud mno kutaka kuonekana Kama mzungu ama kwenda kwa wazungu anaona ni Kama ametoboa.
I wish hata kisukuma kiwe lugha ya Taifa Halafu kiswahili kiendelee kuwa lugha ya kimataifa
Mnadanganyana hivi mkiwa kijiweni mnakula migagi.Sio putin mwenyewe!
Katumia body double kama anavyofanyaga akienda Ukraine kumtembelea wanajeshi maeneo wanayoyashikilia
Mnadanganyana hivi mkiwa kijiweni mnakula migagi.View attachment 3442846
Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji.
Putin ni kiboko!
😂😂DahKwenye mahojiano kati yangu na vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC na CBS ya USA nilielezea hili.
usidharau watuHuyo ni Putin yule yule na hakuna cha double wala single. Yaani awe double Marekani wasijue ila nyie wachambia chupa wa Mbagala Rangi Tatu eti ndio mfahamu. Bure kabisa.
Tumerogwa sijui na nani tunapenda upumbavu sanaYani akili za Mtanzania hasa muafrika ni zile zinazofanana na nyani!
Tafuteni, nmetoa maelezo ya kutosha kuhusu hilo 😎😂😂Dah
Wakuu wako ni kina nani na mambo ya Putin na Trump yanatuhusu nini????angalieni vitu vya kuleta huku siyo kwa sababu unabando basi!!View attachment 3442846
Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji.
Putin ni kiboko!