Hakuna watu wa soka pale kwenye management. Katikati ya msimu utaleta vipi kocha anaetumia mfumo tofauti kabisa na wachezaji waliopo..!Niwe mkweli tu kitendo cha kumtoa rvn kwenye ukocha na kumpa huyu amorin iliharibu kila kitu
Huna unachokijuaFukuza tu huyo kocha na tarehe 25 simba tunabeba ndoo
Huoni mtu akikatiza,Nitakuwa hapa mpaka kesho muda kama huu
Huna unachokijua.Niwe mkweli tu kitendo cha kumtoa rvn kwenye ukocha na kumpa huyu amorin iliharibu kila kitu
You tooPunda kabisa