Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hamna namna tunaweza kufanya tukaomba jpili tusiingize timu uwanjani kukwepa fedheha.
 
Hope ni kwema humu ndani, Imekuwa kitambo kidogo wakuu!

EPL inarudi leo nikaona tupeane salamu fupi.
UTD Ipo kwenye njia sahihi! Huwezi chukua EPL kama wachezaji wako hawana 'Mentality' sahihi ya ushindani na Umoja.
Ile ni timu sio Gofu ama Tenisi. Amorim amefanya kitu bora sana kuondoa 'EGO' kwenye dressing room. (Hii changamoto Post-Fergie na ilianzishwa na zile sajili za kibiashara, wachezaji wengi wali-adopt kujiona Super na iliathiri mpaka mikataba)

Msimu unaanza, Goli katika mchezo huwa linabadili hali ya uchezaji kabisa na mchezo kiujumla. UTD Msimu uloisha kuna wakati imeenda michezo mingi sana OT 1H bila kufunga. Tatizo #2. Timu haifungi, Ukiongeza Cunha, Sesko, Mbeumo wana karibu magoli 50 katika ligi kwa pamoja.

Build-up/Playing from the back blah blah blah (Overrated)
Kutambulika na Leseni daraja B na A na UEFA lazima upitie mada za 'Playing patterns' sio lazima wote wafanane uchezaji, naona kuna wengi wanapanyooshea kidole hapo.
Ku-control mchezo sio lazima Umiliki mpira!
Sehemu nina hakika mabadiliko yatakuwa makubwa UTD ni kwenye Pressing.
Timu ya Amorim na Glasner wanafanya Pressing sio kwa ajili tu ya kunyan'ganya mpira ila kuset TRAPS. Nimeiona Wolfsburg, Eichant Frankfurt na Sporting CP. Watumiaji wa 3~4~2~1

Kuna MOVES zinajirudia mara kwa mara hata ukiwabana (Munoz anajikuta akikimbilia mpira akiwa free na kwenda piga krosi ama kufanya Cut-back/V) Crystal Palace, Mitchel alikuwa ATT threat DEF kabla ya Glasner, ila alivyofika wanachokifanya wanapress kama UNIT kwa wakati sahihi na wanapopata mpira wana-switch haraka kwenda upande wa aliye free.

Akiwa na mpira Guehi CM anasogea karibu (Channel za goli lao) L10/ LAM EZE anarudi chini pokea mpira, ni Mitchel anakuwa akikimbia free. Hivyo hivyo pia upande wa pili. (Walikuwa bora zaidi wakiwa na Olise)

Kwa UTD sasa akiwa na mpira Heaven/Licha Bruno atasogea karibu Cunha atashuka chini & Dorgu anakimbia free. Upande wa Yoro/Marzaoui RCB yeyote, Akichukua mpira RCM atasogea karibu, R10/Mbeumo atashuka chini, Amad anakuwa anakimbia free (Hizi ndo zile 3rd man running ila kwa pembeni) Kwa kilichokuwa kinaanza onekana Pre-season
Amorim kwa maneno yake akija UTD alisema timu inapoteza contol ya mchezo wakati mwingine kwa sababu ya kutoweza kutunza mpira kwa baadhi ya wachezaji.
Kwa kuanzia sajili ni nzuri hata akishindwa Ruben mwalimu mwingine anayekuja hakuti garasa mingi.
Kuanzia GW3/4 UTD itakuwa nafasi nzuri ya kujua inaendaje mbele sababu Dirisha litakuwa limefungwa na timu ya kwenda nayo imetambulika na muunganiko kuanza kuonekana.

El Tiger.
 
premier League is back
1687692453926.jpg
 
Karibu sand mkuu maana ulikua umepotea kidogo.
 
Mmh
Hata iweke

Tumo
Yumo
 
Ila nyumbu mmetisha sana, ata bila kucheza mechi yoyote mpo nafasi yenu ile ile ya 15, mliomaliza nayo msimu uliopita. Kesho jitahidini mtoe droo msishuke zaidi.
 
Back
Top Bottom