kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,737
- 20,550
Mwenye link aishee hapa
Tushakula kimokoAmorim msimu huu hana la kujitetea
Sesko na Amad kawanzisha nje
Anyway ngoja tuone
Wenzenu washapata lao moja, bado yenu matatu..Wasakana waonana ni vibwengo vya Wenger orphans dhidi ya watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha😁😁😁
My prediction
Manchester united 3 vs aserwali 1
Stadium 🏟️
Old Trafford
Time
12:30 jioni
Leo tutachapa tutakanda wale arsenal vibaya sana
GGMU👹View attachment 3444021
Tunachezaje huko? Niko shamba muda huu navuna mahindi
Hahaha soma ulichoandika tena bwasheeMbeumo na Kunya kule mbele ni muunganiko mzuri sana.