Recent content by wasp

  1. W

    Richmond kutikisa Bunge

    Hongera sana Mheshimiwa JJ Mnyika. Nadhani ungewashauri wabunge wenzio wa CDM kuwasiliana na wapiga kura wao kwa njia hii ya mtandao na kujibu maswali na hoja zao. Keep it up honorable Mnyika and I wish you all the best hapo mjengoni.
  2. W

    Dkt. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali

    Sio vyema kumuombea mtu mabaya lakini Mwakyembe aliwasaliti Watanzania kwa kuficha taarifa nyingi kuhusu Richmond ili aokoe serikali na chama chake. Baada ya hapo akapewa cheo cha Naibu Waziri Ujenzi (kama vile vipande 30 vya Fedha alivyopewa Judas Iscariot ili amsaliti Bwana Yesu). Mwakyembe...
  3. W

    Madaktari live mlimani tv

    kwetu sisi Ngoromiko ni shetani au satana
  4. W

    Ile kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi arusha ndio basi tena

    wameshajua kuwa Lema atashinda hivo Bi Batilda kapewa ubalozi hapo Nairobi atulize mzuka
  5. W

    Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

    Smatta, for your info, Tanzania has nothing to lose even if we get out of EAC. We have have all the resources we need for our development . Truly we are better with our comrades in the SADC.
  6. W

    Mama Shelukindo kaamua kumwaga mboga na ugali

    Bigaraone, thanx for your comments on Mwita25. According to sources of my "inteligensia", Mwita25 is an employee of one of the mushrooming FM Radios in Dar and his 'pro-Magamba' excoriate against Mama Shelukindo reflects the kind of language (be it Kiswahili) you will hear from presenters in...
  7. W

    Vituko vya Nahodha

    Ni lini Mheshimiwa Naodha atalitaka Jeshi la Polisi kufuatilia wezi wa Kagoda, meremeta, etc?
  8. W

    Ushauri wa Bure: TBC na Mkurugenzi TBC (TBC1).

    Watangazaji kama Marin Hassan Marin na Jane Shirima ni vinara wa tutetea Chama Cha Magamba
  9. W

    Symbion Power acquires DOWANS Power plant

    Uporoto01, kwa taarifa yako kule Mtwara kuna mafuta ambayo ayajaanza kuchimbwa. Namtumbo-Songea pamoja na Bahi-Dodoma kuna Uranium. Hivi vyote ni vyanzo vya nishati ambayo Marekani inahitaji. Pili China inainfluence kubwa Tanzania kwa hiyo njia ya kuakikisha malighafii hii haiangukii mikononi...
  10. W

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Hongera sana Mheshimiwa Zitto, this is the time to put your words in action. Natamani wabunge wote wa CDM wafuate mfano wako.
  11. W

    Ulimwengu ampa rais ajaye - Dr Slaa - ushauri murua

    hata kama Generali Ulimwengu katumwa (kama wewe unavyotaka tuamini) mbona ushauri wenyewe ni mzuri? Hacha chuki zako zisizo na msingi.
  12. W

    Edward Lowassa Nimewakosea nini Watanzania? (Huyu SI LOWASSA)

    Kama kweli wewe Mheshimiwa Lowasa basi tunakukaribisha kwenye JF. Kama kiongozi ni lazima ukubali kukosolewa hapa JF. Umungu mtu hapa hakuna. Mimi naomba utueleze ni biashara gani ulioifanya katika siasa (hasa katika kile kipindi cha ujamaa kuelekea ubepari baada ya Azimio la Zanzibar) mpaka...
  13. W

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    "Kigwangala ebu tupe Resumee ya Dr. Kikwete na kama aliandika na kudefend an original desertation".
  14. W

    Hongera Dr. Bilal Kuutetea Muungano na kusimama kuhesabiwa; Wengine?

    Wanzanzibari tayari wamesha weka mipaka ya nchi yao ndani ya katiba yao. Sasa hii nchi tunayoiongelea kama Tanzania ni hipi? Je ni Tanganyika peke yake maana ndiyo ambayo mipaka yake haitambuliki na haina katiba yake? Ama kweli nchi yangu Tanganyika ni shamba la bibi hata wakenya sasa wanasema...
  15. W

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Nape hacha longolongo juu ya mambo ya Nyamongo. Askari wa Chama Cha Magamba ndio wameua rai Arusha na Tarime kama makaburu walivyokuwa wakifanya Afrika ya Kusini. Lakini nakuuliza Je mmemalizana na Ole Parokwa juu mambo ya kuanzisha CCJ? Angalia safari hii EL kakukamata mahali pabaya....yaani...
Back
Top Bottom