Ile kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi arusha ndio basi tena

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
KESI.jpg
kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la arusha hukumu ilishatoka?
 
Kesi bado inaendelea na haikufunguliwa na huyu mama. Ilifunguliwa na wana ccm watatu wa jimbo la Arusha kwahiyo huyo bibie anasikilizia tu! Hata hivyo, JK naona kampeleka karibu na Arusha ili aendelee kujipanga!
 
Kweli sasa naamini ukiteuliwa na JK ujiulize tangu lini umeanza kuwa bogus, jishitukie mwenyewe kabla watu hawajakuandika magazetini utumbo wako
 
Naona maoni ya wengi mliotoa ni kama fumbo. Tunaomba ufafanuzi.

Ina maana mtu akishindwa katika uchaguzi wa bunge hana sifa ya kuwa kiongozi katika nafasi yoyote? Mimi ningeomba ufafanuzi zaidin ili niweze kuchangia vizuri katika suala hili
 
Back
Top Bottom