Madaktari live mlimani tv

Madaktari live mlimani tv

Serikali ishindwe? waulize magwanda na wanafunzi wa mlimani.

Kukutana ni madaktari waliofanya dharau jana, Waziri Mkuu kawangoja hawakutokea, walitaka wabembelezwe? Mwanachi ataekuwa nyuma ya hawa na kuwaunga mkono huyo haitakii mema Tanzania.

Tuombe mgomo huo uishe salama lakini kuwaona maeneo ya kazini siyo tija maana wanaweza kuwa katika mgomo baridi ambao ni mbaya sana kwa maana athari zake ni kubwa sana. Unakuwa unalipa watu ambao hawafanyi kazi maana watakuwa wanafika na kuondoka huku hawajafanya kazi na wewe unataka kujiridhisha kama wamesaini vitabu vya mahudhurio.
 
Wapo walioenda kazini?

....Pigia mstari,

kumbe Madaktari wenyewe waoga kweli, bit dogo tu la jana leo wamepiga mbio kazini utadhani watoto wa shule ya msingi,kumbe hawa ata wangepewa adhabu ya viboko wangelala chini tu, shame on you...
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
Madaktari wana uhakika wa kupata kazi popote ndo maana wanakomaa hawataki uzushi.
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

sijakuelewa mkuu ndo unawatisha ama?
 
Serikali ishindwe? waulize magwanda na wanafunzi wa mlimani.

Kukutana ni madaktari waliofanya dharau jana, Waziri Mkuu kawangoja hawakutokea, walitaka wabembelezwe? Mwanachi ataekuwa nyuma ya hawa na kuwaunga mkono huyo haitakii mema Tanzania.
Porojo za Kariakoo..............Umeshambiwa na mama Makinda, mambo yako ya Kariakoo, hukohuko!!!
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

acha wooga wewe, kama serikali haiwasikilizi wananchi wake itamsikiliza nani?
serikali imewekwa na wananchi ni lazima iwasikilize wananchi wake au mnadhani hii nchi ni ya tabaka lenu tuuu TUMECHOKA!
 
Pinda must learn educated people are easy to lead but difficult to drive. They are easy to govern but impossible to enslave.
 
acha wooga wewe, kama serikali haiwasikilizi wananchi wake itamsikiliza nani?
serikali imewekwa na wananchi ni lazima iwasikilize wananchi wake au mnadhani hii nchi ni ya tabaka lenu tuuu TUMECHOKA!

PM amewasubiri kwa muda wa kutosha pale Karimjee jana, hawakutokea ili wasikilizwe.
Inavyoonesha, hawa ma Dr walikuwa wanadanganyana na kufanya uhuni tu kwenye vikao vyao.
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira. RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
misri, libya, tunisia zote hazikuwa serikari? ya kikwete na wapuuzi wenzako ndo serikari?
 
Tuombe mgomo huo uishe salama lakini kuwaona maeneo ya kazini siyo tija maana wanaweza kuwa katika mgomo baridi ambao ni mbaya sana kwa maana athari zake ni kubwa sana. Unakuwa unalipa watu ambao hawafanyi kazi maana watakuwa wanafika na kuondoka huku hawajafanya kazi na wewe unataka kujiridhisha kama wamesaini vitabu vya mahudhurio.

Hiyo ndiyo hali itakayoendelea kama kweli wapo walioamua kurudi kazini ni kwa vile tu sirikali imeamua kutumia nguvu ... ila hakuna kazi itakayo fanyika.
Madaktari kuwepo hospitalini kama ari ya kufanya kazi haipo na kama bado hawajasikilizwa madai yao ni sawa na kumpeleka punda mtoni lakini hutamlazimisha kunywa maji. Sirikali imekosa washauri!!!!!
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

Kwa taaluma kama yako mpiga debe ingeshakula kwako. Sio. Doctors. Hawa wana soko kubwa sana south na ndiyo kiburi chao
 
hivi mnafahamu madai ya madaktari? Kwnn wanapiga chenga kuonana na serikali wakiitwa? Wamefanya hivyo 2 tymz, kwanza kwa naibu waziri na jana kwa waziri mkuu.. Wanataka nn hasa? Hebu watuweke wazi. Na nyie serikali kuweni na maamuzi, kama mtawatekelezea madai yao au mtawapiga chini.. Huu mvutano 2meshauchoka , fanyeni maamuzi. Au ndo mpk raisi arudi? Kwnn pinda haunaga maamuzi?? Waziri mkuu huna meno, umebakia jina 2.
 
ktk hili sakata, madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
Rudini kazini.....otherwise ...very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.
​same old story divide and rule but this time it won't work
 
Ktk hili sakata, Madaktari watashindwa.... Huwezi kucheza na Serikali ukabaki salama.
Nawahurumia wale wenzangu na mimi wanaofuata mkumbo na mwishowe kupoteza ajira.
RUDINI KAZINI.....otherwise ...Very soon mtagundua kuwa mlikuwa mnapoteza muda na imeshakula kwenu.

uko kazini
 
SAME OLD STORY DIVIDE AND RULE BUT THIS TIME IT WON'T WORK :smash:
 
misri, libya, tunisia zote hazikuwa serikari? ya kikwete na wapuuzi wenzako ndo serikari?

Serikali za hizo nchi hazikuangushwa na ma dr vilaza, ziliangushwa na wananchi.
For your info, Wa tz wanawashangaa ma dr wanaogoma, majority hawakubaliani na madai yao ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom