Recent content by vist

  1. vist

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Dada mzima kama mzima ni furaha kwangu mimi nashida na msichana wa kazi za ndani Lakini awe ni wakuja na kuondoka maana na sababu za kufanya hivyo tatizo cijajua uko dar maeneo gani ila mimi niko tabata KIMANGA kama upo OK njoo tupatane kabisa.
  2. vist

    JamiiForums Tanzania Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

    Milele daima
  3. vist

    JamiiForums Tanzania Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

    And me my number is 0629254611
  4. vist

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

    Huna adabu wewe
  5. vist

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

    Hata mimi hivyo hivyo mkuu
  6. vist

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na njaa: Warundi wengi wakimbilia TZ kisa ugumu wa maisha

    Sina uhakika kama ni kweli
  7. vist

    JamiiForums Tanzania Mlioolewa ni nini kiliwaliza siku ya harusi?

    Anakuwa haamin kile kinachokuwa kimemtokea kuolewa ci mchezo mchezo.
  8. vist

    JamiiForums Tanzania Baraka na Naj??

    Baraka na Naji hao
  9. vist

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachokera duniani kama kuwa na shemeji ambaye masikini na hana msaada na wewe

    Wewe mtoa mada unazo siyo unataka mteremko kama mlima kitonga angalia kwanza na hali ya sasa mjini hapa hatujaja kuoa kwa ajili ya kuwa sponsor wa mashemeji kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe ni hayo tu thanks.
  10. vist

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji maarufu auaga ukapera

    Unamsanifu na ndoo maana umecheka
  11. vist

    JamiiForums Tanzania Rudisha pikipiki tafadhari

    Mbona unacheka sana dada scorpion vipi tena
  12. vist

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Naomba kuuliza

    Hivi kampuni ya G4s inahusika na nini?
  13. vist

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji maarufu auaga ukapera

    Mwanamke mzuri yuko wapi hapo?
  14. vist

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa maarufu

    Hapana sio kesho ni kesho kutwa
  15. vist

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    Hivi kampuni ya G4s inahusika na nini?
Back
Top Bottom