Dada mzima kama mzima ni furaha kwangu mimi nashida na msichana wa kazi za ndani Lakini awe ni wakuja na kuondoka maana na sababu za kufanya hivyo tatizo cijajua uko dar maeneo gani ila mimi niko tabata KIMANGA kama upo OK njoo tupatane kabisa.Nina miaka 25 natafuta kazi ya ndani Kwa part time ninaweza kufanya kazi zote za nymbani mara 3 au 4 Kwa wiki. Malipo ni makubaliano kulingana na kazi zenyewe mawasiliano yangu ni 0659449374 -0743621928 Kwa anaehitaji .
Hongera sana na kila la heri.Habr wapendwa🙂 baada ya wki Moja ntakua hapa kusema Jambo...Nmepata nafac ya kaz...Na yule ninamfanyia kaz km ataona umuhim wa kuja kusema kuhusu mm na utendaj wng wa kaz n vzur zaid...Hiyo itasaidia Zaid Kwa wale walionitukana na kusema mm natafuta wanaume..... Ahsanten kwa ushrkiano wenu🙂
Ahsante PHongera sana na kila la heri.
Usjali OlvAhsante P
Hamna loloteMtego huo mtu anatafutwa hapo
Jinsia yake iwe "KE"or "ME"Natafuta mfanyakazi wa kwenda na kurudi. Atafanya kaz siku sita awe anaishi wilaya ya temeke. Anayehitaji kaz hyo ani PM
Kazi njemaHabr wapendwa🙂 baada ya wki Moja ntakua hapa kusema Jambo...Nmepata nafac ya kaz...Na yule ninamfanyia kaz km ataona umuhim wa kuja kusema kuhusu mm na utendaj wng wa kaz n vzur zaid...Hiyo itasaidia Zaid Kwa wale walionitukana na kusema mm natafuta wanaume..... Ahsanten kwa ushrkiano wenu🙂
Nina miaka 25 natafuta kazi ya ndani Kwa part time ninaweza kufanya kazi zote za nymbani mara 3 au 4 Kwa wiki. Malipo ni makubaliano kulingana na kazi zenyewe mawasiliano yangu ni 0659449374 -0743621928 Kwa anaehitaji .
Inahusika sana..!heee!!!kazi za ndani na chura wapi na wapi
Msiingie kwenye mtego kwa kupiga simu. Hao wamekuwa wakitumwa na baba Mkubwa. Ili awajue wachochezi. Mi nilijaribu kungia kwenye mtego bt walishindwa kwakuwa nilitumia namva nyingine. Na isiwe smart phone. Tafuta namba mpya na simu ya tochi.bila shaka utakua ni wale jamaa wa mtabdao
Anatafutwa Mshab Jr ingawa nae nna wasiwasi nae kama wale wengine..Mtego huo mtu anatafutwa hapo