Njoo tujuzane ujuzi wa kutafuta sattelite za chaneli bila kubahatisha

Inawezekana kabisa, ila sio 'BURE'. Nunua receiver yenye uwezo wa kufungua channels zilizofungwa kwa powervu, kama vile Freesat, Gsky, Hometech ama Qsat Q26 na matoleo ya mbele yake. Baada ya hapo nunua dish la ft 6 ama ft 8, unakua umemaliza kazi. Tafuta fundi, akufungie satellite ya NSS 12 iliyo nyuzi 57E (ppana Sports 24, inayorusha EPL) ama Intelsat 20 iliyo nyuzi 68E (pana channels za Sony zinarusha pia EPL). Hapo utapata mpira wa EPL
vipi kuhusu muvies hapo..nitapata channel za muvi hata mbili tatu
 
9f32d90720a14e80239948a65760c096.jpg
 
vipi kuhusu muvies hapo..nitapata channel za muvi hata mbili tatu
Zipo sana tu. Kwa Intelsat 20 kuna HBO na channels kadhaa za Kihindi, hizi zinarusha movie muda wote. HBO ni za Kiingereza, na hizo za Kihindi zinarusha movie za Kihindi. Kwa NSS 12 zipo pia katika channel ya Colors wanarusha pia.
 
asanteni

hivi kwa kutumia hiki kingamuzi cha azam cha zamani
naweza kubadili mueleleo wa setelite mfano kwenda amosi 5. Bila kubadili dish wala kingamuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom