Mlioolewa ni nini kiliwaliza siku ya harusi?

Ukweli wanaujua wenyewe mabibi harusi, mimi nilishuhudia kama wawili hivi waliopitisha 35 na wakalia kanisani, baada ya kuonekana hakuna mwenye kizuizi cha ndoa!!!!Maana wale waume zao walikuwa hawajatulia kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukweli wanaujua wenyewe mabibi harusi, mimi nilishuhudia kama wawili hivi waliopitisha 35 na wakalia kanisani, baada ya kuonekana hakuna mwenye kizuizi cha ndoa!!!!Maana wale waume zao walikuwa hawajatulia kabisa.
I like this mkuu.
 
alishaolewa..ni mke wangu halali! Sasa sijui unataka alie mara mbili!??
Wewe ni baya sana!!....baada ya kumchukua Evelyn wetu kutoka huku JF sasa hivi hayupo huru tena kutoa yale macomment yake adimu ambayo tulikuwa tumeyazoea hapa!![emoji1] .......sasa hivi anacomment kwa kusita,kwa wasiwasi na kwa mara chache sana!!......wewe baya sana mkuu![emoji17]
 
Nlilia cku moja kabla....nliwaza ntakavyomiss kwetu....na mambo ya kuomba ruhusa kwenda nyumbani dah! Nlikuja kulia tena a week after baada ya kuwakumbuka sana kaka zangu.
Na pia ule usia wa kuwa mume ni mtoto wako wa kwanzaaaa ulikuwa unaniwazisha esp nikiwaza amenipita 10 years how comes........ ugh!! Harusi bwana.
 
kuolewa ni tukio nyeti mno hunakuwa unaenda kuanza maisha mengine. kumbuka binadam tuna hatua tatu hiyo ni ya pili.
 
Anakuwa haamin kile kinachokuwa kimemtokea kuolewa ci mchezo mchezo.
 
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.

Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
Sky Eclat my dear, ombea uolewe na huto tu vulana twenu TWA mjini, tunato randaranda na magari hadi matango yao yanakuwa kama Kamba ya katani.
Ukiolewa na Bujibuji lia in advance as much as you can, maana unakuwa umechagua kuwa kila kitu kwangu.
Unapenda niendelee??!
Niongezee bapa jingine a.k.a Anthony Lusekelo BOB LUSE, nilipige fasta kisha niende kwa my Guru mshana jr
 
Mkuu ingekuwa zile Enzi za mama zetu ninadhani jogoo mwekundu angeshatafutwa tukapige ramli anaezuia ni nani, me and you we were meant for each other, guru Mshana atathibitisha hayo na ndoa ni kwa Mzee wa Upako. Paba tutampa akimaliza shughuli.
 
Ndoa ni shughuli pevu. Ndoa ni ya mama mkwe, ndoa ni ya mawifi.
Jiulize kwanini watoto wa Kiswahili hawalogwi na mama wadogo na mama wakubwa, ila wanalogwa na mashangazi?
 
Kisa na mkasa cha kula mzigo mwezi mzima nini?
sura yako inatamanisha mtu aendeleze tu!
lkn pia what is the use of kuoa kama mzigo ni wa kupimiwa robo kilo! unatakiwa ulipie mahari yote ndani ya mwezi mmoja halafu tuanze kuishi faida!
 
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.

Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
Umenikumbusha juzi tuu nilikua namuoza Mdogo angu wa 32 years.... Awali alikuaga akishangaa why watu hulia arusini... Basi nilipopewa nafasi arusini yakutoa nasaha niliongea sentensi tatu tu za kumtakia heri na kumuaga rasmi kwenye ukoo wetu... Kisha ule wimbo wa kinyakyusa ukafuata na upande wetu wote kuinuka kucheza kuashiria tumemtoa rasmi... Jamani yule binti alilia hadi nikahisi uchungu........
 
It was too emotional kwake mkuu.
 
Haha yupo busy na maandalizi ya "hapi sabidei". Hamjaonana?
Samahani hivi ni wewe umewahi niandikia pm kwa masuala Fulani? Kama ndivyo bado upo kwenye uhitaji? Niandikie tafadhali pm yangu imejifuta yote so sina kumbukumbu tena.
 
Back
Top Bottom