Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Wakati wanasiasa wakihubiri na kueneza maneno kua tanzania kuna ukame na njaa wenzetu wa nchi ya jirani wamekimbia nchi yao kisa njaa na ugum wa maisha, akiripoti taarifa hiyo mwandishi wa itv wa mkoa wa kigoma amesema kuwa sasa hivi wakimbizi wameomgezeka huku wakidai kuwa sababu kubwa ni ugum wa maisha na njaa. Chanzo itv