Rudisha pikipiki tafadhari

Rudisha pikipiki tafadhari

Nikajua umeniweka Mimi, ningetililika utumbo wako wote na kesho ningekufungulia kesi....pumbaf, kuna mtu mzima nimemsitiri sana kwa alichokifanya kinaendana sana na hiki kiss....hahahaaa
 
Huu ni upendo wa hali ya juu! Watanzania tunapendana sana. Yaani mwizi unaambiwa kwa ustaarabu wa hali ya juu hivi,
 
Mwizi rudisha fekon ya watu!
Yasije kutokea kama ile pikipiki iloibwa Tanga ikajakutelekezwa Vetenary Dsm
 
Nikajua umeniweka Mimi, ningetililika utumbo wako wote na kesho ningekufungulia kesi....pumbaf, kuna mtu mzima nimemsitiri sana kwa alichokifanya kinaendana sana na hiki kiss....hahahaaa
ndio nini hiki umeandika?
 
Albadir yoyote wakitaka kusoma lazima watangaze ndio utaratibu.. ili mwizi ajijue maana ikishasomwa madhara yake ni makubwa mno na hutoweza kurudi kwenye hali ya kawaida
Mkuu albadir inagusa hadi familia na haina hatia au?
 
Back
Top Bottom