1.uwe na account for atleast 6 months kwenye bank unayotaka kukopa au uwe unaendesha account benki yingine kwa angalau miezi 12 hivyo utawasilisha statement
2.uwe na biashara hai ndani ya Tanzania
3.Ikumbukwe kwa namna ya usimamizi huwa fedha cash haitolewi kwa mkopaji bali hupatiwa mali/bidhaa...
wadau,mwenye habari kuhusu mwenendo wa kesi ya huyu gamba,
nimepita pale mitaa ya kivukon front watu ni wengi wanasikiliza kesi hiyo.
Wanamjvi fungukeni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.