Maandishi kwenye t-shirt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandishi kwenye t-shirt

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kingwipa1, Oct 31, 2012.

 1. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jana nikiwa kazini mara nikamuona sharo-b mmoja katinga t-shirt yake iliyochorwa fuvu la mtu akiwa amechuchumaa kuonyesha ana-fart. Kuna maandishi yameandikwa
  'SILENT BUT DEADLY'.
  Ikanikumbusha t-shirt nyingine ya jamaa mmoja hapohapo kazini iliyokuwa imeandikwa
  'FIFTEEN MEN ON DEADMAN'S CHEST' huku imechorwa vikaragosi 15 kwenye eneo lililosawa na kifua cha jamaa.

  Sijui wanavaa wakijua ama inatokea tu.

  weka uliyoona.
   
 2. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  t-shirt nyingine niliyowahi kuona ilikuwa imeandikwa god is fake
   
 3. R

  Rahim usanga Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Njemba 1 ilivaa tshirt imeandikwa''im ur next girlfrnd"
   
 4. J

  J.T New Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwingine imeandikwa "I hate my mom"
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  ........hot dog.............
   
 6. brightrich

  brightrich Senior Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nyingine alitinga kijana imeandikwa 'KISS ME" yaani sijui alikuwa hajui au la!
   
 7. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jana tarehe 30.10.2012 nikitoka kazini narudi home maeneo ya Amana Stand kuna binti mmoja halfcaste alivaa t-shirt rangi ya kijani kifuani ikiwa na maandishi makubwa yaliyoandikwa kwa herufi kubwa "HARLOT" Binti alionekana yuko busy anarukaruka akiwa amebeba tangazo hilo kifuani mwake. Haaaaaaa haaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. African220

  African220 Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwingine Arusha jana nilimwona amevaa T shirt imeandikwa AM BAD BUT MY T-SHIRT IS GOOD
   
 9. N

  Nani Mimi Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyingine niliona imeandikwa '**** me'
   
 10. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mmoja naye nilipishana nae maeneo ya Ubungo kavaa tshirt imeandikwa kwa juu BEER IN huku kukiwa na kidole kinachooint kwenye koromeo na kwa chini yake imeandikwa BEER OUT kukiwa na pointer inayoonyesha chini ya kifua.

  hivi unavaa nguo km hiyo huna watoto nyumbani ama wadogo zako? ama tuseme ndo sehemu ya ile asilimia inayomaliza shule haijui kuandika hata jina!!! just curious
   
 11. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,518
  Likes Received: 81,736
  Trophy Points: 280
  lunatics of L.A hii alivaa bouncer wa pale maisha club
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Mwingine nlimuona majuzi ana tisheti ya kijani ina picha ya mkuu wa nchi imeandikwa "SIZITAKI KURA ZENU WAFANYAKAZI"
   
 13. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jana my close friend tena yupo chuo kavaa tshert apa kwenye matiti imeandikwa just for you,nkamuuliza wot is for me akabaki anakenua,ningekua namuwinda jana ningejihalalishia
   
 14. U

  Utamuwapipi Member

  #14
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  jana mitaa ya kkoo mkongo man mmoja kwnenye dula la vipodozi kavaa tshirt nyeusi kifuani imeandikwa SLUT
   
 15. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,518
  Likes Received: 81,736
  Trophy Points: 280
  changu mmoja hapa royal bar mwananyamala yake imeandikwa kwa nyuma BEST MEAT IN TOWN halafu mshale umeelekea chini ya mgongo
   
 16. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nimewahin kuwa na T-shirt imeandikwa "too busy to FCUK".....FCUK means-French Community UK.ukiiangalia vibaya unaweza jua ni tusi
   
 17. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kuona t-shirt imeandikwa JF the home of the great thinker,
   
 18. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #18
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Mmmh

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 19. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna mzungu mmoja nimekutana naye Dodoma mitaa ya CDA T'shet yake imeandikwa "MY NAME IS NOT MZUNGU"
   
 20. Magwangala

  Magwangala JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Nipokuwa form 1 nilikuwa na T-shirt ina picha ya papa John Paul 2 akivuta sigara kubwa,imeandikwa I Like Pope,The Pope Smokes Dope,Wale wababe wa F4 walikuwa wanaiwinda hadi wakaniibia
   
Loading...