CHADEMA mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mpo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir henry, Nov 15, 2011.

 1. s

  sir henry Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BilaShaka kila mmojawetu anayeitakia mema nchi yetu ambaye hana chembe ya Ubaguzi.Mh Raisi aliposema anaridhia Tanzania si Kurekebisha KATIBA bali Kutengeneza KATIBA MPYA alifurahishwa na kauli hiyo kwasababu Mh Kikwete atakuwa Raisi mojawapo wachache walioridhia kutengenezwa Katiba pasina damu kumwagika huo ndio UKWELI .Mchakato umeanza Kisheria,bahatimbaya wapo waheshimiwa wabunge wa chama cha demokrasia CHADEMA kwamara ya pili mfulilizo wamesusa mjadala huu SWALI langu la msingi liko hapa wanadai nini ? Naomba nieleweshwe tafadhali asieelewa madai ya Waheshimiwa wale asishiriki safari hii sio posho suala linalowahusu chadema pekee (taarifa nilizonazo kwenye posho waligawanyika) huu ni Mstakabali wa TAIFA LETU Taifa ambalo hamna aliebarikiwa kwamba ni Taifa lake/ama ataishi milele ana kizazi/Jamii chake/yake ndio chenye haki ya kuishi kwa neema.Nisaidieni watanzania wenzangu Ahsanteni Sana
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ina mana wewe huelewi wanachosusa? ama kweli asiyejua maana hauliz maana!
   
 3. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kinachonekana hapo kiko wazi, tatizo ni kwanini muswada umesomwa kwa mara ya pili? wakati ulipoletwa kwa wananchi waliukosoa, na kulazimishwa urudiwe kuandikwa upya. hivyo hawakuwa na budi kuurudisha kwa wananchi ili wayaone mabadiliko na wawe na haki ya kukosoa tena. pia ulitakiwa ujadiliwe na wananchi Tanzania nzima (hii inamaanisha democrasia). sasa kitendo cha kuusoma kwa mara ya pili
  1. imefuta uhalali wa wananchi kujadili muswada huo na kuufanyia marekebisho yoyote,
  2. umeruhusu bunge lijadili na kuufanyia marekebisho lenyewe, hii inaweza kupelekea usisiem na uchadema hata kwenye kupiga kura hivyo upinzani kushindwa kutokana na idadi yao kuwa chache.

  siishii hapo, kitendo cha wawakilishi a CHADEMA na NCCR (baadhi) kutoka nje hakijawatendea haki wananchi. wao wangeendelea kuwepo ila wakatia ngumu kwa kulazimisha mabadiliko (hasa mamlaka makubwa aliyopewa raisi)
  najua kingeeleweka. mbona mnyika jana aligangamala kikaelewela kwenye muswada wa manunuzi ya uma?
   
 4. h

  hajoma Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kwa jinsi unavyouliza unafahamu kila kitu ila unatuchora, vinginevyo wew ni mtoto....

  Wanadai apewe bastola kama Rage na wawekewe vitanda bungeni ili wawe wanalala vizuri sio kama gamba Wassira.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wa kuwajadili ila si wabunge wa chadema. Hawana lolote, wasikusumbue akili. Nawashauri watoke moja kwa moja wabaki wabunge wapenda AMANI.
   
 6. M

  MyTz JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  in red, ukweli upi mkuu?
  mkuu mda wa mabadiliko ukifika huwezi zuia, haijalishi rais ni nani hata kama ungekuwa ni wewe usingeweza zuia...
  hajaridhia hiyo kitu ni shinikizo la umma ambalo haliwezi zuilika, wananchi wamezinduka nyakati hizi wanajitambua...
   
 7. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hutakiwi kuwa sir kama umeshindwa kuelewa wanasusia nini !
   
 8. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama uanjua wmaesusia kwanini usijue wanachokidai? acha kutuchora!
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Hauna tofauti na jamaa yenu wa propaganda sijuhi mmempeleka wapi Tambwe au mmemuuza kwa mkopo..where Tambwe sir?
   
 10. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Hauna tofauti na jamaa yenu wa propaganda sijuhi mmempeleka wapi Tambwe au mmemuuza kwa mkopo..where Tambwe sir?
   
 11. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wewe kichaa nini?Hujui what is going on bora ukaa kimya unatuuzi ukija huku kwetu TARIME tunakutaka ******. Ndio nyinyi Watz bado mko gizani. Jithidi kusikiliza na kusoma news kama Mwananchi, Nipashe etc usisome UHURU pumbafu
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wabunge makini wakiondoka wanaobaki kameruni akiwakuta wanamalizana kikubwa.
   
 13. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Wabunge Wa Chadema wakitoka moja kwa moja Basi wabunge Wa CCM kama wasira,Mrema(TLP) na magamba wengine wakuwa wanalala sana mjengoni hivyo kufanya Bungeni iwe sehemu ya kulala usingizi mzito.
   
 14. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Huyu sir ana ujinga mwingi
   
 15. s

  sir henry Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sikuomba kutukanwa mimi nataka waheshimiwa hawa wanadai nini hatahivyo vyombo vya habari hakuna waliosema Chadema wanatakaje ? Hii ni nafasi adhimu waliopata watanzania bila umwagikaji DAMU.mbona kuna wachache wanakataa nafasi hii muhimu sana kuna agenda ipi inayoendelea.
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Wewe ueleweshwe nini wakati huna akili hata ya kufuatilia kinachotekea bungeni? Majibu yote yako huko
   
 17. U

  Utamuwapipi Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  tena kumbafu zake kabisa...wa2 wengine kama wamekatwa vichwa
   
 18. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makinda alikataa miongozo toka kwa wabunge wa upinzani mana alipangiwa hivo othewise angebanwa na vifungu. Anapoahirisha bunge akagusia kwamba miongozo sasa itafata kanuni ina maana kabla ya hapo haikufata kanuni? Amri hiyo ilikuwa inasubi jana? Kwa Mtanganyika kuongelea znz ni zambi? Tuache utani CCM wana maslahi makubwa znz kwa kutumia udini thus why hata kwa mtutu Muungano will b there. Wao sasa hivi wanadai kutengana ila watu wachache wa ccm hawataki. Wamepeleka maombi un, hawamkubali Kambarage wanadai kapotosha histori, wanataka kushiriki kombe la dunia nk. Tusizuie muswada kujadili muungano.
   
 19. m

  mahololelo Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Naamini hata wewe ni mpenda AMANI ndio maana kwako EPA , DOWANS,MEREMETA KWAKO NI AMANI
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ts all about logic and being LOGICAL mkuu, km mswada wa marekebisho ulipoletwa mjengoni ULIKATALIWA, kwanini unapoletwa huu wa jana wanasema UNASOMWA mara ya pili!
   
Loading...