Poleni mnaong'ang'ania kuishi DSM, sisi wa mikoani hayo matatizo yenu hayatuhusu kabisa. Hapa nilipo nakula kipupwe kwa kwenda mbele huku kitu cha Castle Lager kikinitumbulia mimacho. Mia
TANESCO watatoa taarifa kupitia kwa Barbara Masoud muda mchache ujao. Mia
Ngoja nizime laptop yangu, nipate chaji ya kuanzia kesho! Tena am very intelligent, manake nilijikuta tu mchana narudi ghetto na kupika msosi hadi wa ucku!!!
Acha tu, niko kwa Shemegi yangu mapipa kakasirika sana, nimewatoa chumbani na dadangu, wamesweat sana sababu ya kukosa umeme!miaUbungooooo.... This a curse....
Nadhani ni matatizo kidogo. Mafundi watakuwa wanalifanyia kazi. Hizo ni changamoto ndogondogo.
i quit!
Tutaishi maisha ya kubangaiza na wasiwasi hadi lini??
Huu umeme imekuwa ni kansa sasa.
No wonder mpango wa dharura upo njiani....
Tutaishi maisha ya kubangaiza na wasiwasi hadi lini??
Huu umeme imekuwa ni kansa sasa.
No wonder mpango wa dharura upo njiani....