- Joined
- Dec 20, 2011
- Messages
- 8,282
- Likes
- 1,190
- Points
- 280

SHIEKA
JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011

Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.
Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani mwangu kuchukua kitu nilichosahau. Niliporudi kwenye gari ndo nikaona kitu kilichonishangaza. Nilipotupia jicho kwenye exhaust pipe niliona vitone vya maji vikitiririka.
Je, hiyo ni nini? Vitone vya maji kwenye exhaust vinatoka wapi? Au ndo mfumo wa maji kwenye radiator umeshavurugika na kuingia kwenye engine?
Naomba mdau mtaalamu anieleweshe.