Recent content by terrat

  1. terrat

    UZI MAALUM KWA WANAOKAA ARUSHA!

    Swali langu ni, naomba msaada Kwa wanaofahamu hospitali zinazopokea bima ya NHIF mkoa wa Arusha.
  2. terrat

    Nauza flat screen, fridge na microwave.

    Nahitaji fridge, niko Arusha, natoa laki nne chap, kama uko tayari njoo inbox
  3. terrat

    Je wanadamu tuna FREE WILL??

    Umenena
  4. terrat

    Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

    Kwasasa sina hata baiskeli ila ntapambana nianze na mark x mnyama wa njia!
  5. terrat

    Natafuta mume

    Una umri gani wewe? Je umeshawahi kuolewa kabla? Unaishi mkoa gani? Unajishuhulisha na nini sasa?
  6. terrat

    Je naweza kuwa na tatizo la kisaikoloji.Msaada tafadhari

    Sawa tumeshaipata biography yako isipokuwa tuu picha na majina kamili!
  7. terrat

    Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    Dahhh! Nammkumbuka sir Quatlema Nada! Mzee wa go home" Namkumbuka sana huyu bwana! Staafu Kwa starehe mwalimu wangu Terrat secondary
  8. terrat

    Hivi Messi wa miaka ya 2008 na Neymar wa sasa nani ana skills

    Mfananishe messi wa 2012 na neymar wa 2017 hapo utaeleweka!
Back
Top Bottom