mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
Kwa nini lakini mkuuHaipendezi kabisa hata hivyo kwa taarifa yenu hiyo ni invention mojawapo ya ibilisi lengo likiwa ni kuzidisha machukizo juu ya uso wa nchi, hata hivyo Mungu alitupa binadamu uhuru na uwezo wa kuchagua, hakuna aliyelazimishwa kumwamini Mungu ni hiari kwa moyo wako tu.
[HASHTAG]#Tamaa[/HASHTAG] ikishachukua mimba, huzaa mauti![]()