Mi naona wanajitahidi hasa brother k huyo
ambaye umemponda.
zaidi ya hayo pia.Kwa yale maguo machafu?
Mkuu,Bongo comed ni madudu matupu...Mimi huwa natazama Churchill show kupitia you tube kuna vichwa kama Professor Hamo ni nomaKama unachekeshwa na wale jamaa basi we si wa kawaida. Ukapimwe
zaidi ya hayo pia.
Mkuu,Bongo comed ni madudu matupu...Mimi huwa natazama Churchill show kupitia you tube kuna vichwa kama Professor Hamo ni noma
Sisi wabongo comed ni mpaka comedian avae manguo mabaya mabaya!
Sasa kama lengo ucheke, si hapo limetimia?Kuna kipindi nilikuwa naangalia hiyo futuhi afu nacheka sana...watu hawakujua kwamba nilikuwa nacheka sababu comedy haichekeshi. Nachekaga wanavyoangaisha kuchekesha afu wanashindwa wanaishia kupigana tu...haha!
Kama idris sultani huwa nacheka sababu he is not funny at all.
Poa Palamambo jiwe!.
Inapendwa sana huko kanda ya ziwa
Kama wengine tunacheka haina shida...wewe kacheke za huko unakotaka ww.....Tuacheni kulalamika aiseeSio kila cha nyumbani ni bora acha kasumba mbaya jamaa sio creative kbs dunia ya sasa huwezi kutengeneza comedy kwa kuvaa manguo mabovu na matai marefu na kukimbizana na kucheka cheka hovyo eti unaita comedy!!! Utaishia tu huko huko simiyu wakati wenzetu wa south na wa west africa wanaenda next level kwa ubunifu na sasa wanatamba kwa comedy mpaka ulaya na marekani .. sisi tumebaki na comedy za kibwege tu za kuvaa matambara! Ujjinga mtupu
Kama wengine tunacheka haina shida...wewe kacheke za huko unakotaka ww.....Tuacheni kulalamika aisee