Nauza flat screen, fridge na microwave.

teflon_1880

Member
Jun 14, 2016
49
9
Habari
Nauza vitu vifuatavyo vina upya wake na kila accessories zake zilizokuja navyo kutoka dukani

Samsung Smart Flat Screen inch 40 kwa Tshs. 1.3M

Fridge westpoint kwa Tshs. 650,000/=

Microwave kwa 150,000/=

Mwenye Uhitaji naomba nicheck inbox tufanye biashara napatikana Dar es salaam.

upload_2018-3-13_23-2-31.jpeg


upload_2018-3-13_23-2-46.jpeg


upload_2018-3-13_23-2-59.jpeg
 
Nahitaji fridge, niko Arusha, natoa laki nne chap, kama uko tayari njoo inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom