Pole sana mkuu,iyo ilinitokea hata Mimi lkn nilimpa adabu huyo alieniharibi mjomba wangu nilimlaza lokapu cku mbili na baadae akaenda segerea miezi 6 mpk wazee wake wakawa wa naomba suluhu nikawaaambia ili yaishe tukubaliane jinc watavyomsomesha mjomba wangu akisha zaa
Naomba ushauri nilimaliza form six mwaka 2014 nikafanikiwa kupata div three ya point 12,pcb
General studies. C
Physics E
Biology B
Chemistry B
Basic math C...
naombeni mnishauri nichague kozi gani itakayonifaa na chuo gani kitakachonifaa mm ni mtu wa hali ya chini sana...2015 nilichaguliwa open...
Naomba mnisaidie sheria inasemaje? mm nimezaa na mwanamke mtoto mmoja wa kiume nikapewa tangazo Hospitali na nikaenda Rita nikachukua cheti cha mwanangu cha kuzaliwa mtoto ana miez 10.
Bibi yake mzaa mama cna maelewano nae mazuri na huyo bibi anauwezo kidogo wa fedha na yeye ameenda Rita tawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.