Kwa miaka kadhaa sasa ifikipo saa tatu usiku nipo nyumbani nikisikiliza Sports Extra Ya Clouds FM ila kwa siku za karibuni nimeanza kupoteza ladha na kipindi hiki kutokana na mpangilio mbaya wa habari za michezo kwani wamekua wakitumia muda mwingi kutoa mawazo yao na kubishana wao kwa wao kiufupi wanaboa.
Naomba Shafii Dauda ondoa hawa jamaa wawili maana wanaharibu kipindi ambacho wewe,alex lwambano na Ibrahim Masoud Maestro mulitumia miaka mingi kufikisha hapa ilipo leo...
Hao watangazaji ni hawa wafuatao.
1. Issa Maeda
2. Edga Kibwana
Hao jamaa wanaboa na wanakuharibia kama Mkuu wao wa kazi.