Historia ya Mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar Es Salaam

Historia ya Mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar Es Salaam

Kuna mtaa1 pande za airport Dsm anaishi msanii1 hv wa bongo move mumewe ni dobi maarufu pande hivi unaitwa mtaa1 wa N.Y.EGE.
JEE KUNA ANAYEJUA HISTORY YAKE?
 
Kuna maeneo km Gongo la mboto,Mtoni mtongani,Karakoo,Kibirizi,Yombo,Ubungo maziwa,Msasani,n.k.sijui asili yake nini?,tafadhari mwenye uelewa atufahamishe.
 
Hivi neno DAR ES SALAAM,lilitokana na nini???.

Linatokana na neno la kiarabu "Darussalaam" yaani 'haven of peace' kwa kimombo au 'nyumba ya salama' kwa kiswahili.

By the way, turudi kwenye majina ya mitaa:
Mtaa wa Indira Ghandi unatokana na jina la aliyekuwa Waziri Mkuu wa India mwanamke akiitwa "Indira Ghandi". Huyu mama aliuwawa 1984 na WaSikh wenye siasa kali ambao pia walikuwa ndiyo walinzi wake (hakujua masikini).

Sikumbuki issue hasa ilikuwa nini lakini alipeleka askari kuvamia lile temple lao na jamaa walichukia sana, ndipo hao walinzi walipanga mission na kumtwanga risasi.

Nyongeza: Na mwanaye Rajiv alitawala naye akatwanga bomu la Watamil.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Nnamdi Azikiwe alikuwa ni kiongozi wa kwanza wa Nigeria mara baaya uhuru wa nchi hiyo. Barabara yetu ile maarufu imepewa jina hilo kama kumbukumbu yake. Alifariki mwaka 1996.

Samora Machel naye, kama Azikiwe, alikuwa ni kiongozi wa Msumbiji aliyepinga utawala wa amakaburu wa Afrika Kusini. Alifariki kwenye ajali ya ndege mwaka 1986. Mjane wake ndio mke wa Mandela wa sasa.

Hassan Omari Makunganya alikuwa kiongozi wa Wangindo (sina uhakika sana na kabila). Aliongoza watu wake kupigana na Wajerumani dhihi ya utawala wa Wajerumani. Alishirikiana na akina Kinjekitile Ngwale katika vita iliyojulikana kama Majimaji (1905 - 1907)

umechapia mkuu Makunganya alipigana na wajerumani huko Pangani alinyongwa huko huko Pangan
 
Mtaa wa Morogoro
Mtaa wa Tabora
Mtaa wa Utete
Mtaa wa Kigoma
Mtaa wa Mwanza
Mtaa wa Arusha
Mtaa wa Moshi
Mtaa wa Bukoba
Mtaa wa Nzasa
Mtaa wa Pangani
Mtaa wa Tanga
Mtaa wa Chunya
Mtaa wa Tukuyu
Mtaa wa Sadani
Mtaa wa Lindi
Mtaa wa Kilwa
Mtaa wa Songea
Mtaa wa Dodoma
Mtaa wa Kilosa
Mtaa wa Iringa
Mtaa wa Korogwe
Hii mitaa yote inapatikana eneo la Ilala. Kwa majina haya historia ipo wazi inajieleza
 
umechapia mkuu Makunganya alipigana na wajerumani huko Pangani alinyongwa huko huko Pangan

Wewe ndio umechanganya,Idimi yupo sawia. Makunganya alikuwa mtemi wa Wangondo huko Liwale Lindi.
Aliyepigana na Wajerumani huko Sadani hadi Pangani Tanga alikuwa Mtemi Abushir (Bushir)bin Salim.
 
Kuna maeneo km Gongo la mboto,Mtoni mtongani,Karakoo,Kibirizi,Yombo,Ubungo maziwa,Msasani,n.k.sijui asili yake nini?,tafadhari mwenye uelewa atufahamishe.

Nitakujibu mawili matatu
1 Ubungo Maziwa kuliwa na Kiwanda cha Maziwa, sijui bado kipo !sina uhakika.
2 Msasani inasemekana kulikuwa na Mzee mmoja maarufu aliyekua akiishi maeneo hayo aliyekuwa akiitwa Musa Hassan, sasa watu walikuwa wanasema tunakwenda kwa Musa Hassan,au kuna shughuli fulani kwa Musa Hassan. Baadaye ikaja kufupishwa Msasani.
3. Kariakoo inatokana na neno Carrier corps, yaani ushirika wa wapagazi(wabeba mizigo, makuli).

Kibirizi asili ni eneo/kitongoji/Kijiji (sina uhakika) huko Kigoma.
Sasa kama Dar kuna eneo au mahali panaitwa Kibirizi ,labda kuna jamaa mwenye asili ya Kibirizi Kigoma alikaa maeneohayo alikuwa na biashara mfano Duka,Karakana,Bar, Lodging(Guest House) au chochote akakiita jina Kibirizi.
 
mtaa wa Lindi...
Mtaa huu ndio mrefu kuliko mitaa yote hapa Dar.

Mtaa wa Agrey...
Huu ni mtaa wa pili kwa urefu Dar.

Mtaa wa Congo...
upo Kariakoo.
Huu ni mtaa ambao una pilika na Tashtiti kuliko mitaa yote Tanzania.
Halahala, Mtaa huu ukijishaua kuzubaa tu unaibiwa.

Mtaa wa Sikukuu...
Mtaa huu ni mtaa unaouza madiko diko usiku kucha.
Nenda muda wowote mtaa huu utapata Chakula.
huu pia uko Kariakoo.

Mtaa wa Chui...
Pia nao upo Kariakoo.
Ni mtaa unaoaminika kuwa na walaji Mirungi kuliko mtaa wowote Dar es Salam.

Mtaa wa Pemba...
Upo Kariakoo.
Umelaaniwa, hauna Lami.
kwa taarifa yako mtaa huu unapita katikati ya soko kuu la Kariakoo.

Mtaa wa Swahili.
Huu mtaa upo Kariakoo.
Mtaa huu unaanzia Kariakoo Shimoni unaishia Gerezani.

Mtaa wa Twiga.
Upo Kariakoo.
Ndipo lilipo jengo la club yenye mafanikio zaidi hapa nchini.
Hapa naizungumzia club ya YANGA.

Itaendelea...

Mtaa wa Swahili
Huu mtaa upo Kariakoo
Mtaa huu unaanzia Barabara ya Morogoro na unaishia Mtaa wa Nkrumah!
na si kariakoo shimoni,
Hakuna mtaa unaoanzia shimoni bali mtaa wa Nyamwezi unapitiliza hapo shimoni kutokea mtaa wa matumbi jangwani na kuishia mtaa wa Mbaruku Gerezani
 
mtaa wa Lindi...
Mtaa huu ndio mrefu kuliko mitaa yote hapa Dar.

Mtaa wa Agrey...
Huu ni mtaa wa pili kwa urefu Dar.

Mtaa wa Congo...
upo Kariakoo.
Huu ni mtaa ambao una pilika na Tashtiti kuliko mitaa yote Tanzania.
Halahala, Mtaa huu ukijishaua kuzubaa tu unaibiwa.

Mtaa wa Sikukuu...
Mtaa huu ni mtaa unaouza madiko diko usiku kucha.
Nenda muda wowote mtaa huu utapata Chakula.
huu pia uko Kariakoo.

Mtaa wa Chui...
Pia nao upo Kariakoo.
Ni mtaa unaoaminika kuwa na walaji Mirungi kuliko mtaa wowote Dar es Salam.

Mtaa wa Pemba...
Upo Kariakoo.
Umelaaniwa, hauna Lami.
kwa taarifa yako mtaa huu unapita katikati ya soko kuu la Kariakoo.

Mtaa wa Swahili.
Huu mtaa upo Kariakoo.
Mtaa huu unaanzia Kariakoo Shimoni unaishia Gerezani.

Mtaa wa Twiga.
Upo Kariakoo.
Ndipo lilipo jengo la club yenye mafanikio zaidi hapa nchini.
Hapa naizungumzia club ya YANGA.

Itaendelea...
Lindi sio kweli kuwa ni mrefu Lindi unaanzia Ilala na unaishia mtaa wa Shaurimoyo na unaanza mtaa wa Sophia Kawawa na unaishia mtaa wa Msimbazi na unaanza tena Lindi unaishia Mnazimmoja
Mtaa mrefu ni Uhuru unaanzia Buguruni Barabara ya Mandera hadi Mnazimmoja Barabara ya Nkrumah
 
Nitakujibu mawili matatu
1 Ubungo Maziwa kuliwa na Kiwanda cha Maziwa, kijui bado kipo !sina uhakika.
2 Msasani inasemekana kulikuwa na Mzee mmoja maarufu aliyekuea akiishi maeneo hayo aliyekuwa akiitwa Musa Hassan, sasa watu walikuwz wanasema tunakwenda kwa Musa Hassan,au kuna shughuli fulani kwa Musa Hassan. Baadaye ikaja kufupishwa Msasani.
3. Kariakoo inatokana na neno Carrier corps, yaani ushirika wa wapagazi(wabeba mizigo, makuli).

Kibirizi asili ni eneo/kitongoji/Kijiji (sina uhakika) huko Kigoma.
Sasa kama Dar kuna eneo au mahali panaitwa Kibirizi ,labda kuna jamaa mwenye asili ya Kibirizi Kigoma alikaa maeneohayo alikuwa na biashara mfano Duka,Karakana,Bar, Lodging(Guest House) au chochote akakiita jina Kibirizi.
Thanks mkuu.
 
Lindi mrefu zaid,,umeanzia bungoni mpk Lumumba
Lindi inaanzia kona ya Nkrumah (ambapo lipo jengo la JUWATA) mpaka Bungoni inakatiza Bibi Titi, Lumumba kupitia maeneo ya gerezani.
 
Ni Kweli Kinondoni kulikuwa na kinondo? Au Gongo la Mboto kulikuwa na Gongo?
 
Back
Top Bottom