Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB.

WCB.jpg

WCB1.jpg
 
Hii habari alishaitoa kitambo ndugi yetu Raj a.k.a harmonize.
Leo ndio tukio limekamilishwa. Hii ni kama habari za ndoa za siku hizi,anakutoa bikra mwengine na anayekuoa ni mwengine kabisa.
Hongera Mavoko.
YNWA
 
Binafsi nampa pongezi Diamond, ni juhudi kubwa amefanya kuimalisha lebel yake hadi kufikia kiwango cha kuanza kusainisha wasanii wakubwa kama Mavoko. Nina imani akiendelea na juhudi hizi atasainisha wasanii wakubwa zaidi. Na sasa nimemuelewa vinzuri kwa nini alisema yeye haoni lebel yoyote ya kuweza kumsaini yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom