Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 5,955
- 4,821
Wewe lazima hujapitia kusoma vyuo vya hapa nchini kama una degreeWafukuzwe tu, tena ingependeza rais awachape hata fimbo na kuwafukuza. Mi nilishasema tangu mwanzo kuwa serikali ya Dr Magufuli ilishajitanabaisha toka mwanzo kuwa wanafunzi lazima watapata mikopo hakuna wa kukosa sasa wao kilichowafanya wagome ni nini????? Wapumbafu sana hawa vijana. Mbona wafanyakazi wa halmashauri safari hii mishahara ilichelewa kwa siku kazaa mbona hawakugoma?? Ina maana hao vijana wanadharau serikali, wanamdharau rais. Yaani wafukuzwe wale wote waliochochea mgomo liwe fundishooooo.