Kesi ya kumpa Mimba mwanafunzi

Pole sana mkuu,iyo ilinitokea hata Mimi lkn nilimpa adabu huyo alieniharibi mjomba wangu nilimlaza lokapu cku mbili na baadae akaenda segerea miezi 6 mpk wazee wake wakawa wa naomba suluhu nikawaaambia ili yaishe tukubaliane jinc watavyomsomesha mjomba wangu akisha zaa
 
Kwa sheria za baraza MTU akishasajiriwa lazima afanye mtihani mahali alipojisajiria. Hivyo walomfumkuza wanalitambua mwambie aendelee kujisomea nyumbani au mtafutie tuition. Siku ya mtihani atafanya tu ni haki yake. Nenda shukeni kawaambie tena haki ya kufanya mtihani kwa huyo binti wakikataa nenda kamwone Afisa elimu wa wilaya atakupa habari zote.
 
nenda polisi umkiwa umeongozana na huyo binti.

ilakubali trip za mahakamani kila baada ya siku 14;


PIA KABLA HAUJA RIPOTI POLISI MUULIZE BINTI YAKO YUPO TAYARI KIJANA HUYO AFUNGWE. KAMA UMESHINDWA ....,
 
Mshitaki huyo kijana
Nenda shule ongea na uongozi wa shule maadam amekwisha kamilisha taratibu zote wampe nafasi ya kufanya mtihani wa mwisho hasa kama hautaingiliana na siku za kujifungua na kama mimba itakuwa kubwa basi siku hiyo avae kama waislamu zile nguo zinazofunika kichwa hadi kuishia kiunoni(sio hijabu ila sijui jina huishia kiunoni)
Ikishindikana afanye PC mwakani inawezekana kabisa.
 
Hapo pagumu! Ok mfano huyo kijana ukamshitaki akafungu miaka 30! Huyo binti na mtoto atakae zaliwa utawahudumia wewe? Au mahakama itamlea mtoto wakati baba yupo jela?
 
Hapo pagumu! Ok mfano huyo kijana ukamshitaki akafungu miaka 30! Huyo binti na mtoto atakae zaliwa utawahudumia wewe? Au mahakama itamlea mtoto wakati baba yupo jela?
Kujibu kwake jeuri kunaonesha Hata sasa siyo msaada na hawezi kuwa msaada kwa binti,zaidi anazidi kuwadharau kama familia,afungwe tu heshima iwepo
 
Wadau mimi naishi na mtoto wa dada yangu, kwasababu dada yangu hana uwezo nilichukua jukumu la kumsomesha huyu mtoto, kwasasa yupo form four, jana kafukuzwa shule baada ya kugundulika ni mjamzito wa miezi mitano. Kwasababu sifahamu vema sheria zinazosimamia hili swala naomba kufahamu yafuatayo:-

1. Je ni sahihi huyu mtoto kufukuzwa shule hasa ukichukulia nimelipa ada mpaka siku atakapomaliza masomo yake?

2. Kijana aliyempatia uja uzito anakili kufanya hivyo ila anajibu jeuri sana kwamba nisimfuatefuate. Je ni hatua gani za kisheria naweza kumchukulia huyu kijana hasa ukichukulia huyu bint yetu ana umri wa zaidi ya miaka kumi na nane yaani ana miaka18 na miezi7 hivyo alikutana naye kimwili akiwa ana umri zaidi ya miaka18.
Ha ha ha.. Kama ni mwanafunzi bado unamfunga tu huyo pimbi..
We mfoward umwerani kafungue jalada alaf msogeze mahakamani tu
 
Back
Top Bottom