Recent content by Sumji

  1. S

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    na kweli headmistress!
  2. S

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    uko sahihi kabisa Gaijin
  3. S

    GE2010 Baraza jipya la mawaziri la Kikwete kuwa kama hili hapa?

    hatuwezi kutegemea jambo jipya toka kwake zaidi ya kulipa fadhila kwa maswahiba na kuendeleza ufisadi. ukizingatia hii ni ngwe ya lala salama "chukua chako mapema" Kama wamu ya kwanza ilikuwa ya ugwadu wa embe mbichi hii itakuwa ya uchungu wa mwarobaini!
  4. S

    Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

    Kaaazi kweli kweli! dada umeamsha hisia za watu, manake inaonesha ni jinsi gani watu wanavyopenda kuambiwa maneno mazuri na wapenzi wao mbele ya halaiki. Naona kila mwanaume anataka kujibatiza kuwa mumeo. Lakini nadhani mwenye mali yuko mahali katulia tuli! anachekelea tu moyoni
  5. S

    ARV zatumika kunenepesha "kitimoto"

    Ndugu zangu wana JF, Hivi karibuni nimesikia kuwa dawa za ARV (sijui kirefu chake nini) lakini ni zile zinazotumiwa na watu wanaoishi na VVU kuwa sasa hivi wafugaji wa kitimoto wanazitumia kunenepeshea au kulisha mifugo yao. Wafugaji wa Kyela nasikia ndio wanaotumia sana. Nimeleta hoja hii...
  6. S

    Women, What do you want in Bed?

    nadhani hapa kutakuwa na majibu tofauti kutegemeana na kundi la wanawake husika kwa mfano wanawake ambao ni wafanyabiashara hiyo watakuwa na majibu yao, wachumba na marafiki nao wana majibu yao (labda hawa ndo wanaotaka call back!), walio katika ndoa nao wana vionjo wanavyotaka, call back...
  7. S

    Je, mnajua kama Tanzania kuna kokoa?

    nadhani ni zao zuri katika uwekezaji na nadhani ukilipanda pengine faida yake kimapato inweza kuzidi hata ya matunda ya miti kama embe ambazo huwezi kuzitunza kwa muda mrefu na pia kuna wadudu waharibifu kama inzi wa matunda ambao wanasababisha soko la matunda (fresh fruits) kushuka kila...
  8. S

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mzee Varisanga uko sahihi kabisa! wakati mwingine woga tu unamkosesha mtu ajira kwa kuogopa kuomba kazi mahali fulani akiamini kuwa kwa vile yeye si wa kabila fulani basi hawezi kupata kazi.
  9. S

    Speech therapy

    Jamani mwenzenu nahitaji msaada nina mtoto wa kiume hivi sasa ana umri wa miaka 4 na miezi 3. Mpaka sasa haongei kwa mfulilzo yaani haunganishi vizuri sentensi. Anaweza kuongea maneno machache kama kuita majina ya watu, kusalimia na sentensi chache kama"naomba maji". Ameshaanza kwanda shule na...
  10. S

    Jina la huu mti..

    Kama wengine walivyosema huo mti unaitwa Mshelisheli na matunda yanaitwa mashelisheli. Kuna aina mbili za miti hii na huwa inafanana sana tofauti inaonekana kwenye matunda ambapo Mshelisheli (Breadfruit) matunda yake hayana mbegu na yanaliwa yakiwa yamepikwa(kuchemshwa) na Mshelisheli mbegu...
  11. S

    Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

    Huyu Tambwe Hiza katumwa amjibu Mwanakijiji?
  12. S

    Kenyan Writer Disses Tanzania!

    For sure they NEED US, because it would be very easy for them who have common problems to join rather than continuing to force us to join them. HATUWAOGOPI but we are preventing importation of problems. Thats why each country is always keen with the importation particulary of living materials...
  13. S

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Maneno yako Malafyale yanaonesha hukuwepo kwenye tukio ila umesimuliwa
  14. S

    Wabunge 46 na mawaziri 13 wahamasisha wananchi kutaka JK ajiuzulu

    huu moto ukikolea sijui itakuwaje
Back
Top Bottom