Hayo matunda kama sikosei yanaitwa Breadfruit. (Doriani au wengine wanaita Fenesi la kizungu).
Mti wenyewe utwaitwa Mdoriani (kama sijakosea)
Katika pitapita zangu nimekutana na huu mti na una matunda.
Kuna mtu awezaye kunitajia jina la huu mti? Na matunda yake?
Katika pitapita zangu nimekutana na huu mti na una matunda.
Kuna mtu awezaye kunitajia jina la huu mti? Na matunda yake?
Wakuu nashukuru kwa elimu niliyopata...tena bure. Manake nimekumbushwa hadi kabayoloji kangu ka fom tu!
Niliwahi kuambiwa jina la mshelisheli, lakini nilidhani ni jina la kienyeji.
Thanx all!
Katika pitapita zangu nimekutana na huu mti na una matunda.
Kuna mtu awezaye kunitajia jina la huu mti? Na matunda yake?
Huo ni msheli sheli na ukitaka ustarehe ulipike kwa tuwi bubu na supu ya samaki wa kirungu mpweke.
No comment. I choose to remain silent. LOLLol! Lazima Roya Roy utakuwa Mchaga wa Rombo!
LOL....hapo ni Kilosa mkuu..and i hope upo Kilosa!Nani kawaruhusu kupiga picha ya Mshelisheli shambani kwangu na kuileta hapa JF?
Kaka si unajua tena uwekezaji wa kizalendo? Mtaji mdogo bro. Hiyo nyumba ni yangu na sio ya jirani!... hopefully hapo ni kwako nje! Lol...! ila hiyo nyumba nyuma ya hiyo miti, dont tell me ni majirani zako tehetehe!