Baraza jipya la mawaziri la Kikwete kuwa kama hili hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza jipya la mawaziri la Kikwete kuwa kama hili hapa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Informer, Nov 9, 2010.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cabinet mpya hii hapa

  Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa baraza lake la mawaziri na kuwa na watu takribani 40 badala ya 60.

  Ifuatayo ni orodha ya mawaziri wake watarajiwa.

  SURA ZA ZAMANI KURUDI

  1. Waziri Mkuu Mizengo Pinda
  2. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe
  3. John Magufuli (atapewa Wizara ya Miundombinu au nyingine muhimu)
  4. John Mkuchika (swahiba wa Kikwete)
  5. Prof. Mark Mwandosya
  6. Dr Hussein Mwinyi
  7. Prof. David Mwakyusa
  8. Dr Shukuru Kawambwa (swahiba wa Kikwete)
  9. Prof. Juma Kapuya (swahiba wa Kikwete)
  10. Dr Mary Nagu
  11. Dr. Mathayo David Mathayo (Waziri wa Kilimo)
  12. John Chiligati
  13. Khamis Kagasheki
  14. Lucy Nkya
  15. Mustafa Mkulo
  16. Hawa Ghasia
  17. Sofia Simba
  18. Mathias Chikawe
  19. Omar Yusuf Mzee
  20. William Ngeleja

  SURA MPYA chache

  1. Prof. Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi au Maliasili/Utalii)
  2. January Makamba (naibu waziri foreign au afrika mashariki, baadaye kuwa full minister)
  3. Anne Makinda (full minister iwapo atakosa kuwa spika)
  4. Lazaro Nyalandu (naibu waziri, swahiba wa jk)
  5. Athuman Rashid Futakamba
  6. Zakia Meghji (asante yake kwa kuchangisha pesa za kampeni za CCM)
  7. Amos Makala (naibu waziri)
  8. Mbunge wa kuteuliwa1
  9. Mbunge wa kuteuliwa2
  10. Mbunge wa kuteuliwa3

  CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

  Source: Tetesi za maofisa serikalini
   
 2. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  OK!
   
 3. S

  Sumji R I P

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuwezi kutegemea jambo jipya toka kwake zaidi ya kulipa fadhila kwa maswahiba na kuendeleza ufisadi. ukizingatia hii ni ngwe ya lala salama "chukua chako mapema" Kama wamu ya kwanza ilikuwa ya ugwadu wa embe mbichi hii itakuwa ya uchungu wa mwarobaini!
   
 4. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Uko sawa mkuu.
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Apange anavyojua yeye hii nchi yake wengine tumepanga tuu!
   
 6. A

  Awo JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Namba 19 si keshateuliwa na Shein kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi? Nadhani hawezi tena kuteuliwa Muungano, labda Shein atampa uWaziri visiwani.
   
 7. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  This will be the most 'hopeless' cabinet! Hivi huyu jamaa hawezi kubadilika akaweka watu credible kwenye cabinet yake? Inaudhi sana. Nchi hii haitapiga hatua ya maendeleo iwapo huyu jamaa ataendekeza uswahiba.
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Omari Yusuph Mzee siyo mbunge ni mjumbe wa kuteuliwa wa baraza la wawakilishi na huenda akahudumu katika serikali ya mapinduzi. Cyril Chami yeye umemwacha wapi?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mbona umemsahau Hawa Ngulume na Hadija Kopa
   
 10. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35

  Hadija Kopa atakuwa waziri wa mipasho na utamaduni akisaidiwa na J Komba Hawa atakuwa waziri wa mifungo ilivamia bonde Ihefu
   
 11. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Vicky kamata je?
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nadhani ulikuwa unaimanisha Chupa....Kingwangwala na Dr Ndugulile hawana shavu la mama Salma?
   
 13. L

  Lalashe Member

  #13
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu mwenye tired mbaya energy ya mambo mapya yatoke wapi? CUT and PASTE mwanangu
   
 14. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Nakuambia hautaamini. Mzee mzima asawoL atakapopewa uwaziri. Huyu jamaa (JK) haaminiki!
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,840
  Trophy Points: 280
  huyu nae yupo kivipi?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,840
  Trophy Points: 280
  SHYROSE BANJI NAye
   
 17. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Nafikiri umemsahau Mh. Cyril Chami kwenye hiyo list!!!!

  Tiba
   
 18. W

  We can JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wale wa kuteuliwa watatokana na TV, redio na Magazeti fulani nini!
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Nasikia yuko hoi nyumbani kwake boko. Huyu mama alikuwa "chakla" ya "MUZEE". its no wonder watu wanaanguka hovyo hovyo
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hakutakuwa na jipya, tegemea maumivu tu!
   
Loading...