Women, What do you want in Bed?

Inategemea na mwanaume mwenyewe alipokuwa katika kuomba hilo zoezi hadi kulipewa nia yake haswa ilikuwa nini, maana kuna wanaume anaweza asijali kama ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mwanamke, yeye akimaliza limzigo basi kivyake hadi abanwe tena ndio atakupigia, lakini wapo wengine anaweza akakupigia dk 10 baada ya zoezi kama hamko pamoja, ataonyesha userious wake katika hilo, na sio kutoa asante au pole za kinafiki, hii inakuwaga kweli. Naifahamu!
 
Kama zoezi lilienda vema, kila mmoja akafika anakotakiwa kufika, the chance is both of them will want to be the first to call back for appreciation.
 
yani atakama huduma ulonipa mbaya yet nikupigie tena ili iweje no kama customer care yako ilikuwa nzuri u will have ma call

Tatizo linakuja pale unapotafuta huduma kuambatanisha urongo mwiiiiiiiingi. Kwa nini asitarajie simu kesho na kesho kutwa? Kama makubaliano tangu awali ilikuwa ni kununua karanga kwa Machinga kwa nini mtafutane? Umenunua umelipa au amenunua amekulipa biashara imeishia uwanja wa Uhuru.
 
yani atakama huduma ulonipa mbaya yet nikupigie tena ili iweje no kama customer care yako ilikuwa nzuri u will have ma call

jamani kama tunazungumzia wasichana ambao una mpango wa kuendeleza uhusiano basi ni vema 'ukamjulia hali' a day after, lakini kama ndio wale wa 'mrina' basi no need to do that. lakini hapa ukisema habari ya huduma nzuri au mbaya nadhani unarefer kwa hao 'by click' unampata na ukimaliza shughuli unaingia mtini.

pata picha hata kwako wewe mwanaume uwe umekutana na msichana mkafikia hatua ya kufunuana na baad aya hapo kimya.... utajisikiaje?
 
Kama zoezi lilienda vema, kila mmoja akafika anakotakiwa kufika, the chance is both of them will want to be the first to call back for appreciation.

exactly, so hakuna mwenye liability kwamba inabidi yeye ndo apige au sio mkuuu..this is how it ought to be
 
dah, B tena nilikuwa nakufikira sasa hivi nikasema mbona sikuoni huku tangu asubuhi? morning B!

thanks B kwa kunikumbuka!! Morning my sweet B!! mbona hivo lakini........its been ages ujue!!!
acha niendelee kuhesabu siku tu sasa mpaka kwaresma iishe.
 
thanks B kwa kunikumbuka!! Morning my sweet B!! mbona hivo lakini........its been ages ujue!!!
acha niendelee kuhesabu siku tu sasa mpaka kwaresma iishe.

aaah jamani B! worry not kwa nini hadi kwaresma! nitaku-surprise very soon!
 
Women in Jf,educate us men on the things you like in bed with a man.

Secondly why is that a woman will feel bad if a man doesn't call her the next day after first sex?Kwani what is the big deal with this?Ebu tufafanulieni.

Mlachake!
What Exactly made you to come up with with this Question? Kwanza unatuuliza tunataka nini kitandani then unauliza kwanini tunataka kupigiwa simu baada ya mchezo!! nimepata kapicha kwa mbaaali. yaani haya yamekukuta. au naongopa man?
 
Msaidie mwenzio na wewe dorin, kwa nini mnafanya makusudi?:D
 
aaah jamani B! worry not kwa nini hadi kwaresma! nitaku-surprise very soon!

waiting!!!

kwa nini mtu usijiskie vibaya kama hujapata feed back bwana.......sasa hii ni kwa wote B au sio ila sema nani aanze kumpa feedback mwenzie hiyo nayo issue......
 
waiting!!!

kwa nini mtu usijiskie vibaya kama hujapata feed back bwana.......sasa hii ni kwa wote B au sio ila sema nani aanze kumpa feedback mwenzie hiyo nayo issue......

yeah, mwanzoni mwanzoni nadhani I gave my perspective on this B! ni two way traffic..ukiniwahi asb haya, nikikuwahi haya...its just mutual..tatizo ukisema unategemea mwanaume afanye ivo ujue utashinda rohoinauma kumbe wala yeye hajuagi mambo hayo sio kwamba hakufurahi ila hajui kiuwa anapaswa kuspice things up that way B! ah
 
dah nin meeeeeeeeeeeeeengi bado kujifunza!!! mh B kazi kweli kweli
 
nadhani hapa kutakuwa na majibu tofauti kutegemeana na kundi la wanawake husika kwa mfano wanawake ambao ni wafanyabiashara hiyo watakuwa na majibu yao, wachumba na marafiki nao wana majibu yao (labda hawa ndo wanaotaka call back!), walio katika ndoa nao wana vionjo wanavyotaka, call back pengine haiapply au sio muhimu kwao, lakini appreciation ni muhimu zaidi. Mwanamke ukisifiwa kwamba baba umemfikisha unahamasika kuongeza utundu zaidi wakati mwingine.
 
1. nimependa sana Signature yako!

2.Do you take women For one night ride? I gues yes as per your Thread!

3.What I would want you to give me i Bed will differ From another Woman.

I really like a man who would Handle me softly. Yaani usitumie nguvu katika jambo lolote from Holding to the action itself.

Mwanaume ambaye anatoa sauti za kimahaba wakati wa.....

A man ho takes a shower after every .....

Mwanaume asiyefikia kabla yangu. Keep on asking me if am nearby!!

A man who will listen to my directions on where to hold me.

On the issue of calling or not calling has to do mostly with one night ride!!!!

Upo hapo kijana?

Dorin ka signecha kako nimekapenda -serious

................................
Amani yetu intumiwa vibaya
 
Ka issue ni feed back kwa nini usubiri mpaka kesho yake ama wakati mwingine! Mie huitoa hapo hapo "Asanate my dia; game ya leo imenishika" na kama alikuwa mvivu namwambia "Asante baby girl but leo ulikuwa kama haupo vile" na amenizoweya!
 
Bao 10 kwa bed in one night! then next day in the morning nitataka kuzimua...
kama hauko rijal najua utanikimbia....
 
Back
Top Bottom