Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

Kalale kifuani kwa Yakobo pamoja na watakatifu wote.
kapumzike kwa amani kwan kazi uliitenda na mwendo kuuchapa injili ya bwana kuieneza siku zote za uhai wako
Dunia hii hakika tu wapitaji tu.

RIP baba Askofu
 
Dah, kuna mengi yamenivutia katika historia ya BABU ASKOFU KULOLA...lakini kubwa kuliko hili hapa "Inasemekana hajawahi kunyoa kwa takribani miaka 47, alitumia imani kumwomba Mungu urefu wa nywele zake usiongezeke wala kupungua.. na ikawa hivyo. Kwakweli imani yangu imeongezeka
Kama hilo halitoshi, alipokuwa Mwanza kwenye moja ya mahubiri yake mwanzoni mwa mwaka huu kama sijasahau tarehe aliwahi kutuonyesha shati ambalo alikuwa amelivaa na kutuambia kwamba shati hilo alilitunza toka wakati alipoanza Utumishi kama kumbukumbu. Na mpaka wakati huo lilionekana zuri kabisa. Chezea upako wewe.
 
Amepigana Vyema vita ya IMANI, na MWENDO ameumaliza, Mungu ampumzishe katika wema wake. Amen
 
:A S-fire1:Few weeks ago I saw him at EAGT Mito ya baraka he was so tired but he was able to talk and walk although he was seems so week for case of physical strength but we have been told to give thanks for everything R.I.P Moses Kulola
Jamani tukitukuze Kiswahili...
 
Mtumishi wa MUNGU, BISHOP Kulola RIP. Ulimtumikia MUNGU kwa nguvu zako zote na tunasema sisi tulikupenda lakini BWANA AMEKUPENDA ZAIDI. Amen
 
Kiukweli alimtumikia Mungu ki halali na si kama wengine kujiita manabii na mitume kumbe wanaibia watu.mungu aiweke roho ya marehemu peponi.Amin.
 
Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. (Ufunuo wa Yohana 14:13)
 
Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. (Ufunuo wa Yohana 14:13). Ulale kwa amani, mwana mwema wa Tanganyika!:israel:
 
Hatuwezi kuishi milele! ulisitahiri kuishi maana kazi yako si ndogo, Tanzania na nje ya nchi jina lako lilivuma, unastahili kukumbukwa sana kwa kazi zako! laiti kama tungekuwa na uwezo wa kuombeana basi ilikuwa haki uombewe ulale mahala pema peponi lkn tunaamini pema peponi ulipatafuta kwa bidii sana! unastahili kupokelewa kwa amani!

tunasikitishwa na kuondoka kwako kama ilivyokawaida ya wanadamu lkn kuna sababu kubwa ya kukuenzi kwa kusoma vitabu vinavyo kuhusu na kujifunza kwa yale ambayo ulifundisha enzi za uhai wako!

pole ndugu, jamaa, marafiki na Tanzania kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom