mkuu kwa mtazamo wako uko sahihi, niliongelea huyo jamaa aliesema kwamba haonekani. na mimi nikamuhoji, je endapo kama angeonekana kama jinsi tulivyo mimi au wewe, halafu binadamu wamfuate kila mmoja na shida zake..!!
mkuu piga picha kama angeonekana hapa duniani yeye mmoja tu. halafu watu wote duniani wana shida zao wanahitaji awatatulie. wapange foleni [emoji16][emoji16][emoji16] !!
ni wanawake wenye mapenzi makubwa sana, ila hawapendi ulaghai asilani. kuua ni rahisi anapogundua usaliti. akikupa mapenzi lazima uchanganyikiwe. hakuna bwawa wala nini. nimeawagonga zaidi yasita. nimeishi nao mtaa mmoja sehemu ya Arusha. ukimgusa lazima uzamie.
bibie wasikuzingue, maamuzi ya mtu yatokayo moyoni kisha kinywani, ni ya ukweli dhahiri !! endapo tu wewe kweli ni mwanamke. na hitaji lako ni halisi. kila la kheri.....!!
mkuu mbona sielewi ? ni web ipi ? nilikua niendeleze ep. 9 vipepeo weusi, lakini kuifatilia naona ngumu hata nikienda kwenye linki mnayotoa mbona mbona naona mpangilio siuelewi ? unaweza kutuelekeza step by step ? samahani kwa usumbufu mkuu!!!
huwa sicheki hovyo hovyo, lakini leo, daaah !! mkuu blood of jesus, wewe ni mkuu, ID yako imekuweka kuwa mkuu, tunakuthamini mkuu, endelea tu kuwa mkuu, usiku mwema mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Habari wana JF,
Inasikitisha kila kukicha ni habari za ajali tu, inaumiza sana. Je, ule mpango wa kukaa na madereva wa magari makubwa ya mizigo na ya abiria kuongea nao uliishia wapi?
Mbona SUMATRA na kitengo cha askari wa usalama barabarani mnazunguka tu wakati issue ya kumaliza hili tatizo...
nawasihi wabunge kama mnapitia humu, hii ni issue ya dharura. nafikiri hapiti mitaani kwa wananchi wanaofanya kazi za mikataba ya muda mfupi jinsi wanavyoishi..!! laiti mngejua wala bungeni msingekaa. watu wanahangaika kwenda kutafuta mikopo ya riba kubwa kwa mtaji mdogo usioeleweka, watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.