Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,543
- 9,037
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?
MUME: Basi yaishe endelea kulala
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?
MUME:Jamani mi sijasema hilo
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......