Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 721
- 207
Aisee
kweli ndugu nimetembea sanaNi kweli mkuu au jokes?
Uzoefu Tu......Kha!!! ni kwa utafiti au uzoefu mazee??


Kwaiyo unashauri mleta swali angeuliza "Nataka Kuolewa na Mhindi?"wanawake wa kihindi wanaoa na wanakutolea posa kabisa.wenyewe hua hawaolewi hata siku moja.mia