Mimi ni mdau mkubwa wa kutumia Samsung nimetumia Galaxy Ace 1 na 2 pia S1,S2,S3,S4,S5 na S6 kwa Samsung galaxy note nimetumia note 1, 2, 3, 4, na note edge kasoro note 5, note 7 na S7 ila kati ya zote nilizowahi zitumia nimejikuta nimenasa kwenye Samsung galaxy note 4 na note edge. So...