kutoka mwl wa sanaa kuwa mwl wa sayansi.

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
951
843
wanabodi natumai mko salama..baada ya salam nijikite ktk mada husika.mimi ni mwl wa sanaa ila kulingana na kinachoendelea kuhusu ajira za uwalimu ni kizungumkuti...

sasa nilitaka kusoma afya kwa kutumia cheti cha form 4 ila nlwazo lingine limenijia...wazo liko hivi..olevel nilisoma masomo yote sasa nataka nikomae advance mwaka mmoja kombi ya cbg.kwa kuwa nimesomea uwalimu je nikifaulu hiyo cbg naweza kuhesabiwa kama mwl wa sayansi..ushari wenu tafadhali
 
Huwezi kuhesabiwa kama mwl wa science...
Cheti chako cha ualimu kinasema ww umebobea kwenye arts ila advance science,hujui mbinu na njia za kufundisha masomo ya science bado hujakula mada na mbinu zake za kutosha za science subject ili uweze kumudu kufundisha...

Itakulazimu kuanza upya course ya ualimu...
Otherwise kasome afya kama unapenda kusoma au wacheki OUT usome kitu kingine,ujiendeleze na diploma yako usome hata education na utawala,utawala na fedha,accounting n.k.

Maoni yangu tu!!
 
Hapana. Kwanza usisumbue akili za watu kukusaidia kufikiri jambo dogo kama hilo.

Hivi mtu aliyemaliza A level ni mwalimu?

Kama unataka fungua tuition center ufundishe hapo hakuna shida ila sahau ajira rasmi.
 
hapo unakuwa umesoma sayansi A'level ila sio mwalimu wa sayansi.. sababu content ya uwalimu wa sayansi chuoni bado hujaipitia...
kwahiyo utatakiwa upite tena chuo upya as science teacher..!
Ushauri maridhawa. Zingatia.
 
Hapana. Kwanza usisumbue akili za watu kukusaidia kufikiri jambo dogo kama hilo.

Hivi mtu aliyemaliza A level ni mwalimu?

Kama unataka fungua tuition center ufundishe hapo hakuna shida ila sahau ajira rasmi.
nilichomanisha ni kuwa course za uwalimu nimesoma nyingi tuu.so kwann nisiwe mwl wa sayansi? labda kuna mmoja kanijibu kwa weledi kuwa sina content ya masomo ya sayansi kwa level ya chuo...ila wewe na sizonje mnafana kukurupuka
 
Wewe ndo sizonje na nduguyo ni bashite..

Sasa kama ulishaambiwa kuwa hauna hizo content za chuo unaendelea nini kubwabwaja?

Kama unataka kuwa mwalimu soma hiyo A level ukimaliza nenda chuo kasome tena kwa masomo ya science then ukihitimu ndio utakuwa mwalimu. Otherwise utakuwa unaota ndoto.
 
wanabodi natumai mko salama..baada ya salam nijikite ktk mada husika.mimi ni mwl wa sanaa ila kulingana na kinachoendelea kuhusu ajira za uwalimu ni kizungumkuti...

sasa nilitaka kusoma afya kwa kutumia cheti cha form 4 ila nlwazo lingine limenijia...wazo liko hivi..olevel nilisoma masomo yote sasa nataka nikomae advance mwaka mmoja kombi ya cbg.kwa kuwa nimesomea uwalimu je nikifaulu hiyo cbg naweza kuhesabiwa kama mwl wa sayansi..ushari wenu tafadhali

Mimi ushauri wangu ni huu.
Achana na hicho kitu, nenda pale VETA kuna kozi kibao ambazo zitakupa ajira binafsi kama vile ufundi bomba,umeme,welding nk.
Pia kumbuka ukosefu wa ajira za ualimu ni jambo la mpito tu.
Au tumia alama zako za O level kama ulifaulu freshi badili kada,kasome afya kama uwezo wa kifedha upo,japo bado utasubiri ajira tena.
Kama pesa ipo kasome veta kwaajili ya ajira binafsi
Ndhani utafanyia kazi ushauri wangu
 
wanabodi natumai mko salama..baada ya salam nijikite ktk mada husika.mimi ni mwl wa sanaa ila kulingana na kinachoendelea kuhusu ajira za uwalimu ni kizungumkuti...

sasa nilitaka kusoma afya kwa kutumia cheti cha form 4 ila nlwazo lingine limenijia...wazo liko hivi..olevel nilisoma masomo yote sasa nataka nikomae advance mwaka mmoja kombi ya cbg.kwa kuwa nimesomea uwalimu je nikifaulu hiyo cbg naweza kuhesabiwa kama mwl wa sayansi..ushari wenu tafadhali
Kwakuwa ulisoma masomo yote (kama masomo ya sayansi ulifaulu kwa wastani wa C haswa biology na chemistry na pia kama ufaulu wako wa jumla una C kuanzia 4 au zaidi na hesabu na kingereza hukupata F) tumia cheti chako cha kidato cha 4 ukasome diploma ya kozi za afya eg Clinical officer, Nurse, Health Officer, Dental, Community health worker nk.
 
Back
Top Bottom