Msaada wa kurudisha version ya wasap ya zaman

Halafu huko tunapoelekea inaonesha whatsapp wanaongeza baadhi ya features kila mara wanapotoa toleo jipya (new version).... SASA CHA KUFANYA NI SIMPLE TU...USIUPDATE WHATSAPP KWENYE GOOGLE PLAYSTORE AU KWENYE APP STORE YAKO TENA NA IKIWEZEKANA FUTA AU ZUIA 'AUTOMATIC UPDATES' ZA APPLICATION KWENYE SETTINGS ZA Playstore and App store...... Kwa kufanya hivi utabaki na Version yako ya zamani ambayo haitokupa shida kuitumia kwa maana utakuwa ume restrict/zuia zile automatic updates.

Nadhani umepata mwanga kidogo hapo!!

Itafika kipindi ni lazima u-update.
 
Mbona simple mkuu, usipende kukubali kushindwa...

ukikubali kushindwa ina maana unaruhusu wenzako waende mbele tena kwa kasi ya ajabu, wewe urud nyuma....

Tuliza akili fuata maelekezo, ukishindwa uliza, usipende kuwa nyuma nyuma tu, technolojia itakutupilia mbali
 
Nenda google kapate umuhimu wa kufanya updates, maana kwa uandishi wako huu tengekutana ana kwa ana, ungebisha mpka asubuhi...

umeandika as if unafahamu vitu, kumbe you knw nothing
 
Kwa hiyo kama nataka nibaki na version ya zamani ndio unalazimisha nije na mpya...it is a matter of choice na sio kwamba eti sijui umuhimu wa ku update mpaka niende Google .... Hapana, ni katika namna flani hivi ya kuwa tofauti...Mbona mpaka wa leo natumia Whatsapp ya old version na kila kitu napata?? Images, sound, documents and video files..

Na kuhusu uandishi kwamba eti najua kumbe sijui...Huo ni mtazamo wako tu ambao maana yake unaijua wewe coz ninachokiandika ndio kilichopo kwenye simu yangu na ndio nampa mawazo kidogo achanganye na ya wengine ili apate cha kufanya....AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO..Na kama unajiona wewe bukoba04 ndio unajua kila kitu basi Hongera yako...You are Perfect na kila usemacho wewe hata kama ni mtaalamu wa IT hustahili kupingwa....Ilikuwa ishu simple tu ya kuelekeza kusema hapa sio hivi hapa sawa na sio ku attack personally....!

JIONGEZE
 
Mbona simple mkuu, usipende kukubali kushindwa...

ukikubali kushindwa ina maana unaruhusu wenzako waende mbele tena kwa kasi ya ajabu, wewe urud nyuma....

Tuliza akili fuata maelekezo, ukishindwa uliza, usipende kuwa nyuma nyuma tu, technolojia itakutupilia mbali
Updates zinatoka karibu kila kipindi either baada ya miezi kadhaa au mwaka na haimaanishi kuwa eti nisipoupdate sasa hivi baada ya miez kadhaa sitapata updates kisa tu sikufanya updates hapo kipindi cha nyuma....

Ndio updates zina umuhimu wake lakini kwa baadhi ya wengine inakuwa ni mzigo na kero na ndio maana mdau ameomba msaada wa suala lake lipate ufumbuzi...Si kana kwamba hajui umuhimu au maana ya Application Updates
 
Nimeanza kutumia watsap tangu mwka 2010, one year baada ya kuwa lunched,
 
Kawaida usipo update WhatsApp kwa muda itafika muda inakugomea kabisa kufunguka Mkuu,kama hapa kwenye picha
0c9437f45b45f20434efd52ba8e77127.jpg
Ndio ndio nimekupata mdau..ila inakuaje sasa kwa wale wanaotumia GB whatsapp na hii update mpya wataipata au ndio mpaka wale Developers wa GB whatsapp wafanye yao??
 
Halafu huko tunapoelekea inaonesha whatsapp wanaongeza baadhi ya features kila mara wanapotoa toleo jipya (new version).... SASA CHA KUFANYA NI SIMPLE TU...USIUPDATE WHATSAPP KWENYE GOOGLE PLAYSTORE AU KWENYE APP STORE YAKO TENA NA IKIWEZEKANA FUTA AU ZUIA 'AUTOMATIC UPDATES' ZA APPLICATION KWENYE SETTINGS ZA Playstore and App store...... Kwa kufanya hivi utabaki na Version yako ya zamani ambayo haitokupa shida kuitumia kwa maana utakuwa ume restrict/zuia zile automatic updates.

Nadhani umepata mwanga kidogo hapo!!
Hii nzuri japo itabaki kuwa theory tu
 
Back
Top Bottom