black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Rukhsa kuniita mchawi.... najua ukishaumizwa utaniita mwanasayansi..Yaani nyie ndo wachawi katika jamii huna point yoyote hapa zaidi ya kuniletea fujo
Rukhsa kuniita mchawi.... najua ukishaumizwa utaniita mwanasayansi..Yaani nyie ndo wachawi katika jamii huna point yoyote hapa zaidi ya kuniletea fujo
Ujinga huwa hauachwi ndo maana kuna shule...hiyo bei ni ya screpa ya s5 na sio simu ya s5, ukimaind kivyako mi ndo naenda zangu kula supu..
Ah nenda zako mzee, nenda kanywe supuRukhsa kuniita mchawi.... najua ukishaumizwa utaniita mwanasayansi..
Kwa maana iwe na mfuniko au!!?Natafuta simu
Samsung galaxy s5 used
Isiwe na shida yoyote
Iwe na uwezo wa kutunza Betri
Isiwe na mipasuko kwenye kioo
Budget ni Tsh laki mbili, sina zaidi ya hapo
Aliye nayo anaweza kuniPM
Kwa maana iwe na mfuniko au!!?

Leta hyo s4 na hyo laki mbili nikupe s5 bado ipo kwny hali nzur haijapigwa hata spanaNatumia s4 sasa siwezi rudi nyuma nataka kwenda mbele
Matusi hayoSi kweli,Hiyo hela haitoshi Screpa ya hiyo simu.
Screen yake tu ni 150,000/- ,huyu jamaa atakuwa muuza korosho wa chalinze kamliza abiria anataka na yeye awe kwenye watsup sasa anafkiri simu ni hela ya korosho
Kama unafika 400,000 nicheki tuongee 0652-902994Natafuta simu
Samsung galaxy s5 used
Isiwe na shida yoyote
Iwe na uwezo wa kutunza Betri
Isiwe na mipasuko kwenye kioo
Budget ni Tsh laki mbili, sina zaidi ya hapo
Aliye nayo anaweza kuniPM
Haya nimeshaipata tena nimenunua dukani 32 GB android 6.1 mnasemaje ss!!?wewe unaambiwa ukwelii s5 kwa laki mbili labda kwa kibaka but in reality huwez pata labda yale ma tecno
Nimeshapata mbona nimekaa wiki mbili tu si miaka 800200k?!... endelea kusubiri miaka 800...

S5 bei ya kioo chake display ni 350k, hyo subiri upewe na nduguNatafuta simu
Samsung galaxy s5 used
Isiwe na shida yoyote
Iwe na uwezo wa kutunza Betri
Isiwe na mipasuko kwenye kioo
Budget ni Tsh laki mbili, sina zaidi ya hapo
Aliye nayo anaweza kuniPM
S5 bei ya kioo chake display ni 350k, hyo subiri upewe na ndugu
Nimeshapata bob tena 32 GB