Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Usiku wa March 3 huko Las Vegas nchini Marekani waimbaji wa Bongo fleva Alikiba na Ommy Dimpoz walipiga show katika ukumbi wa Sky Beach Club Marekani kwenye Tour yao. Binafsi bado sijaridhiswa na idadi ya mashabiki katika hiyo shoo kiasi cha kumfanya eti mtu asafiri kutoka Tanzania hadi USA kwenda kutumbuiza watu wachache kiasi hiki.