Recent content by sir j

  1. sir j

    Nini yatakuwa matokeo kwa mtu ambae atakunywa maziwa ambayo ndani yake yametiliwa sumu?

    Kunywa maziwa ambayo tayari yametiliwa sumu ni hatari sana kwa afya. Ingawa maziwa mara nyingine hutumika kama njia ya dharura kusaidia kupunguza athari za sumu fulani, si kila aina ya sumu itazuiliwa au kufyonzwa na maziwa. Ikiwa maziwa yenyewe yamechafuliwa na sumu, basi: Sumu itapenya...
  2. sir j

    Ofisi za Katarama Luxury Mwanza ziko maeneo gani?

    Tembelea pale NATA utawaona
  3. sir j

    Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

    Tatizo ni kiatu ni shida ile asee... Nimewahi iona mara moja tu, nimejaribu kuitafuta bila mafanikio..... Mle ndani kuna Mrisho Mpoto, Masele cha pombe....... Daah hatari sana
  4. sir j

    Sakata la uchaguzi: Pesa kwenye damu

    Good sana
  5. sir j

    Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Mkuu Toa TU...... Wala usihangaike sana, toa TU :D
  6. sir j

    Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Angalia kwenye email yako.... Namba ya usaili utaikuta hapo
  7. sir j

    Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

    Angalia video hiyo mwanzo mpaka mwisho
  8. sir j

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Bonge la story..... Haichoshi kusoma... Ubarikiwe sana mwandishi....
  9. sir j

    Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Ni kwa sababu kama fundi alikupa tathmini ya bati 120 hii hesabu inakuwa ni kwa bati za migongo 12. Lakini kuichukua za migongo 11 katika kila bati 12 utakuwa na upungufu wa bati 1.....hivyo kwenye bati 120 utakula loss ya bati 11..... Kwa nini inakuwa hivi..... Inakuwa hivi kwa sababu kwenye...
  10. sir j

    Msaada kuhusu mabati aina ya Kiboko

    Ni mazuri sana halafu ni mazito...... Zingatia tu kuwa yawe na migongo 12 na sio 11...
  11. sir j

    Msaada wa Windows Installation

    Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu. Natanguliza shukrani zangu za...
  12. sir j

    Sikuwa najua Rais wa Jamhuri ya Muungano ana ofisi Zanzibar

    Kwamba leo tarehe 23 Agosti 2022
Back
Top Bottom