Ikiwa haupo tayari kuupokea au kuukubali ukweli basi usitafute kuujua ukweli

Tanzanite7

Member
Dec 8, 2020
39
58
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ni miaka saba kama si sita iliyopita, nilipingwa na kitu kizito utosini kinacho itwa mapenzi, kwa mtu nilie mpenda sana zaidi ya sana

Nilijua ndio chaguo sahihi maishani kumbe nilikuwa naihadaa nafsi yangu,kila nikikumbuka machozi yananitoka kila nikimfiria moyo wangu hushtuka

Kusamahe nilimsamehe japo kumbukumbu ya yalio tokea bado inajirudia mara kwa mara,sisemi sitasahau ila huwenda ikanichukua mda mrefu kunitoka

Moyo wangu kuvujika umevujika sana,moyo wangu kudhoofika umedhoofika sana,moyo wangu una makovu,maumivu na majeraha

Najutia kwanini nilitakata kuufamhamu ukweli,ni bora kutokujua ukweli ukaishi kwa kuhisi,si wakwanza mimi katika hili huwenda wakawepo,kila mmoja na kiwango chake cha kukabiliana na jambo

Namahukuru sana Mungu Mumba Mbingu na Nchi yeye anajua kwanini aliruhusu hili litokee maisha, wanaume tumekuwa tukipiatia changamoto nyingi sana za kuhuzunisha kwenye mahusiano
 
Shida ya Wanawaume siku hizi wanaishi kama wanawake na wanawake wanaishi kama wanawaume. Iko hivi
Zamani mwanaume alikuwa yupo bize kutafuta hela na alikuwa halili mapenzi. Anachoangalia ni kutafuta hela, kupata mali, kupata watoto na mwanamke (sehemu ya ziada). Mwanamke alikuwa sehemu ndogo ndiyo maana babu na mababa zetu walikuwa wanaoa hata wanawake 10.

Wanawake zamani walikuwa wanalilia mapenzi ndiyo maana walikuwa wanaolewa hata 10 hana noma ila sasa ni kinyume

1. Mwanaume analilia mapenzi, anatoa mpk kamasi. Hataki hata kushika simu ya mwanamke
2. Mwanamke yupo bize kutafuta hela, ukimtongoza anaangalia una hela? Wanaangalia wapate hela, mali na watoto na mwanaume unakuwa sehemu ya ziada yaani ukiwa hauna hela mwanaume ni rahisi kupigwa chini.
Inasikitisha sana lkn ukweli ndiyo huo.

Wewe tembea hata mtaani wanawake wapo bize kutafuta hela lkn wanaume wapo bize na mapenzi yaani akipata hata 50k anawaza amwite mwajuma wakale bata.
Mwanaume tafuta hela, tafuta mali na timiza ndoto zako ili uzee uishi maisha mazuri. Acha kuhonga ovyo ovyo. Wekeza kwenye biashara. Hautasikia mapenzi yanakutesa.
 
Shida ya Wanawaume siku hizi wanaishi kama wanawake na wanawake wanaishi kama wanawaume. Iko hivi
Zamani mwanaume alikuwa yupo bize kutafuta hela na alikuwa halili mapenzi. Anachoangalia ni kutafuta hela, kupata mali,
Umeongea bonge la point.....wanaume wanaolilia mapenzi kiboyaboya nyote pitieni hapa...
 
Shida ya Wanawaume siku hizi wanaishi kama wanawake na wanawake wanaishi kama wanawaume. Iko hivi
Zamani mwanaume alikuwa yupo bize kutafuta hela na alikuwa halili mapenzi. Anachoangalia ni kutafuta hela, kupata mali,
Na uzi uishie hapa,nakazia
 
Mmh! mbona kama hakuna tunachojifunza, wewe ni kujiliza tu hapa jukwaani
 
Shida ya Wanawaume siku hizi wanaishi kama wanawake na wanawake wanaishi kama wanawaume. Iko hivi
Zamani mwanaume alikuwa yupo bize kutafuta hela na alikuwa halili mapenzi. Anachoangalia ni kutafuta hela, kupata mali,
Tangu uanze kuwekeza zimefika shingapi?
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano

Ni miaka saba kama si sita iliyopita,nilipingwa na kitu kizito utosini kinacho itwa mapenzi,kwa mtu nilie mpenda sana zaidi
Pole sana kwa kuchapiwa mkuu. Na wewe tafuta mnyonge umchapie. Haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume.
 
Back
Top Bottom