Sikuwa najua Rais wa Jamhuri ya Muungano ana ofisi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.View attachment 2180784
Zanzibar kiutawala ni mkoa. Na kila mkoa una Ikulu ndogo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.View attachment 2180784
Kwamba leo tarehe 23 Agosti 2022
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.View attachment 2180784
Na ukujua pia Kama Magufuli alikuwa na ikulu kubwa chato?!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.View attachment 2180784
Mbona Magufuri alikuwa na Ikulu Chato tena kubwa kuliko hata hiyo ya Zanzibar.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.View attachment 2180784

Tunguu ni kweli ipo ofisi ya Raisi, ila ni Raisi wa Zanzibar ndio anatumia hiyo. Nafikiri muheshimiwa amefanya share tu.
 
7 April 2022

HAMAD RASHID MOHAMED - BUNGE LA MUUNGANO LILIKUTANA PEMBA ZANZIBAR MWAKA 1977

Mzee Hamad Rashid Mohamed - "Bunge la Muungano lilikutana Pemba Zanzibar mwaka 1977" mwisho wa kumnukuu Mjumbe wa Task Force ya Katiba amenukuliwa leo April 2022.

Back
Top Bottom